INAUZWA GARI HII million 8 tu

INAUZWA GARI HII million 8 tu

willylikes

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
16
Reaction score
0
TOYOTA RAUM.
Year 1997.
CC. 1490.
Model no E-EXZ10.
Tsh 8,000,000/=
Contact: 0684800884

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Weka specifications zaidi kama imetembea umbali gani? Afu picha muhimu
 
TOYOTA RAUM.
Year 1997.
CC. 1490.
Model no E-EXZ10.
Colour:blue
Km:98422
Sports lim,CD player,navigator TV,
Tsh 8,000,000/=
Contact: 0684800884

Nimejitahd ku upload picha zinakataa so unaweza nicheki kwa namba hapo juu kwenye whatsapp
 
Ndo Ikoje...wengine hatujui ina matairi mawili au matatu. Picha muhimu uncle
Ni kweli Untie...Lakin ndio walivyo maripota wetu humu ndani, habari wanaleta nusunusu ndio maana nikakujibu hivyo kutokana na data zao kuwa finyu kwenye kufikiasha ujumbe MadameX. Tumsamehe bure amekaa kimipasho zaidi leta ujumbe.
 
Watu wanaulizia utafikiri wananunua vile, ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah
 
Raum tena ya mwaka 1997 milioni nane, ya mwaka 2003 itauzwa ngapi?
 
TOYOTA RAUM.
Year 1997.
CC. 1490.
Model no E-EXZ10.
Tsh 8,000,000/=
Contact: 0684800884

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
weka picha,maana kuna gari moja nilipelekwa kuiona maeneo ya tbta sijui ndio hiyo,rangi ni ya blue ila namba siikumbuki.
 
Back
Top Bottom