Nyumba ya Ghorofa inauzwa, bei Tsh. Bilioni 1.3, ipo Mtoni Kijichi

Nyumba ya Ghorofa inauzwa, bei Tsh. Bilioni 1.3, ipo Mtoni Kijichi

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
GHOROFA INAUZWA

LOCATION MTONI KIJICHI BEACH

⛱️ DOCUMENTS HATI TITLE DEED

VYUMBA 5 VYA KULALA

VYUMBA VYOTE NI MASTERS BEDROOM

BEI NI TSH 1.3b/- MAONGEZI YAPO

UKUBWA WA ENEO NI SQM 2700


🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

 
Wanaonaga kama hela matako vile kila mtu anazo..
Madalali wamechangia kiasi kikubwa sana kusababisha mfumuko wa bei hasa za makazi nchini..
Pumbav sana hawa jamaa, usishangae kuna msululu wa madalali hapo nyuma sio poa. Anaetangaza hata nyumba ilipo hapajui
 
Nina mpango wa kununua kiwanja cha shule Zanzibar. Sasa kwa vile nina free time (biashara yangu inanihitaji kiasi kidogo mostly inaendeshwa na mfumo) nataka nijifunze udalali ili nianze kuwafahamu hawa wenye maeneo ili ikifika zamu yangu ya kununua iwe rahisi tu. Nimegundua madalali wanaongeza sana bei za ardhi hasa Zanzibar. Eneo ambalo wenye kiwanja anaweza akasema millioni 40 madalali wanaweza kuweka selling price mpaka ya million 120 mkashushana mwisho ukapigwa kwa 80. Ni bora nijifunze udalalili wa viwanja mdogo mdogo nafikiri itanisaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom