Inaumiza sana.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inaumiza sana..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by marida, Feb 4, 2012.

 1. marida

  marida Senior Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni rahis sana kuwapoteza watu muhimu kwenye maisha yetu,either rafiki,mchumba,ndugu wa karibu rather than kuwapoteza watu tunaowachukulia kawaida tu.Inauma sana,na sijui kwa nin vitu hivi hutokea?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  sijakuelewa marida......
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh hajatumia msamiati hata mmoja lakini hata mimi sijamuelewa kabisaaaaaaaa
   
 4. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mwacheni atulie kidogo maumivu yakupungua atawaeleza!
   
 5. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  kwa kweli...
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Pole marida.
  Ni kawaida ya binadamu kuchukulia watu for granted hadi pale tunapowakosa. Haidhuru, angalia usihuzunike na kukosa chance ya kuwathamini wengine hadi watakapoondoka maishani mwako. Jiwekee utaratibu wa kumthamini kila mtu na kila kitu maishani mwako, utajisikia vizuri. Inasaidia pia kutubu na kumuomba mungu akusamehe.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 160
  hatujui thamani ya watu walio karibu yetu hadi tunapowapoteza.

  Very true!
   
 8. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yani anasema yeye kafurahi kufiwa na jamaa yake kuliko mtu asiye muhusu labda anapewa urithi.
   
 9. petrinamwana

  petrinamwana JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Huwezi jua umuhimu wa mtu unaempenda hasa rafiki hadi atakapopotea
   
 10. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Marida unaambiwa,meeting somebody is not a coincidence but destiny...So,never underestimate anybody,tena hao unaowachukulia poa,wakiamua kuondoka,Utabakia ukihuzunika tu.Treasure everyone like Gold...isije ukawa busy unacollect stones while Gold unaziacha
   
Loading...