Inaumiza ila ndio imeshatokea!!!

Inaumiza ila ndio imeshatokea!!!

Mkuu acha kuwaza atakuumiza kichwa tu huyo piga chini kwani kazaliwa peke yake duniani wazuri wapo wengi sana
 
Mkuu acha kuwaza atakuumiza kichwa tu huyo piga chini kwani kazaliwa peke yake duniani wazuri wapo wengi sana

yaani nahisi hili ndo linafuata maana haya maumivu atayalipia baadae
 
"Nimekuchoka,sikutaki,sikupendi na ninakuchukia na tuachane ila niambie na wewe kama nilivokuambia mimi kila mmoja achukue zake" huo ni mwisho wa kunukuu.

Hayo ndo maneno nimeambiwa hata nimeshindwa nini nimjibu mpaka sasa!

Inauma jaman!

duuh.. yani ndo umeachwa hivooo???
 
Mpe majibu ambayo hakutaraji mwambie kwa hali ya kawaida wazo lako zur halafu uone atakavyohaha na kukuambia amakujaribu
 
ila bora anaekwambia ukweli kuliko anaekuonyeshea vitendo..alafu ukishaachana nae huyo huyo cku nyingine atarudi tena kwako kuomba msamaha
 
ukianguka unaamka unakung'uta vumbi unasonga mbele .
hawa wana akili mbili.
shukuru mungu kwa kila jambo , huwezi jua mungu kakuepusha na lipi kwa kuachana nae.
njia sahihi ya kujua anaekupenda is to set her free , then if she loves you she will come back, if not she was not meant for you.:flame::flame::flame::flame::flame:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom