Inaumiza ila ndio imeshatokea!!!

Inaumiza ila ndio imeshatokea!!!

alohadm

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
360
Reaction score
157
"Nimekuchoka,sikutaki,sikupendi na ninakuchukia na tuachane ila niambie na wewe kama nilivokuambia mimi kila mmoja achukue zake" huo ni mwisho wa kunukuu.

Hayo ndo maneno nimeambiwa hata nimeshindwa nini nimjibu mpaka sasa!

Inauma jaman!
 
Mjibu mbona umechelewa ni nilikuchoka kabla yako nikawa nakuonea huruma kukwambia bt kama na wewe umeshafikia hapo we jiendee tu room iwe empty kwa wengine kuja
 
Haiwezekani mtu mzima na mmwenye akili timam atamke maneno mazito kama hayo pasipo sababu lazima utakua umemkwaza kwa jambo ambalo tayari limekua sugu na kwa muda mrefu, hivyo unapaswa ujichunguze hadi ujue wapi umemkosea mpendwa wako.
 
ulizaliwa nae tumbo moja?

Tofauti na vikwazo katika mapenzi i dont think that is the matter of being from same pzrents, nadhani watu hukutanishwa ili kurekebishana and then maisha yanaendelea
 
Haiwezekani mtu mzima na mmwenye akili timam atamke maneno mazito kama hayo pasipo sababu lazima utakua umemkwaza kwa jambo ambalo tayari limekua sugu na kwa muda mrefu, hivyo unapaswa ujichunguze hadi ujue wapi umemkosea mpendwa wako.

hata ukimuuliza anasema unajua we mwenyewe.imenichoma sana
 
"nimekuchoka,sikutaki,sikupendi na ninakuchukia na tuachane ila niambie na wewe kama nilivokuambia mimi kila mmoja achukue zake" huo ni mwisho wa kunukuu.hayo ndo maneno nimeambiwa hata nimeshindwa nini nimjibu mpaka sasa!!!! inauma jaman!!!!

hicho kinaitwa kipondo live kama nilichokipata mm kwa Vaislay kaza buti mkuu
 
Last edited by a moderator:
Muulize nauli ya kwenda kwao shilingi ngapi? Mpatie' mwambie akusanye kila anachokihitaji' na mwisho akwambie nini kingine anataka toka kwako!! Baada ya kumkamilishia mtakie safari njema...!

then utaona reaction yake' usisahau kutupa mrejesho.
 
ngumu kumesa!!! yaani mpaka nimeshindwa chakumwambia maana moyo umepondeka sikawaida!!!!
 
"nimekuchoka,sikutaki,sikupendi na ninakuchukia na tuachane ila niambie na wewe kama nilivokuambia mimi kila mmoja achukue zake" huo ni mwisho wa kunukuu.hayo ndo maneno nimeambiwa hata nimeshindwa nini nimjibu mpaka sasa!!!! inauma jaman!!!!

Ni nani wako uyo?
 
Ni vema kusoma alama mapema, ikibidi unachapa lapa kabla ya kuambiwa...pole ndo ushaachwa hivo
 
Ni vema kusoma alama mapema, ikibidi unachapa lapa kabla ya kuambiwa...pole ndo ushaachwa hivo

fujo zilikuwa nyingi ila kusameheana kulikuwepo na maisha yaliendelea kama kawaida kumbe alikuwa na lake moyoni.nyi wadada nyiiiieeeeee
 
ngumu kumesa!!! yaani mpaka nimeshindwa chakumwambia maana moyo umepondeka sikawaida!!!!

Mkuu inaonekana haujawajua vizuri hawa viumbe' na kwahiyo hali utapata tabu!!! Amini usiamini hana lolote anapima msimamo wako, akili yako na maamuzi yako tu!! Unless hakukupenda, hakupendi na kwa namna moja ama nyingine ulitumia nguvu ya ziada kuwa nae.
 
hicho kinaitwa kipondo live kama nilichokipata mm kwa Vaislay kaza buti mkuu

Mkuu kuna tofauti kubwa sana. Mwenzako alikuwa katika uhusiano wakati wewe ndio kwanza ulitaka kuuanzisha. Maumivu ni tofauti.
Hata hivyo mimi naamini everything happens for a reason. In other words mshukuruni mungu kwa kila jambo. Move forward!
 
Last edited by a moderator:
Umeachwa na shukuru hicho kibuti ss ni wakati wa kupata new flavour
 
Mimi nakushauri umsubiri apunguze hasira halafu mutatue matatizo ikiwa unampenda na ikiwa humtaki mwambie kana yeye asusa wenzake wala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom