Inaumaa we acha tu

Inaumaa we acha tu

Sasa kama umeninunulia iphone 5 lkn kila siku nasimangwa nayo na kunifanya mtumwa halafu kuna mtu ananiwekea vocha inayosindikizwa na maneno matamu na mapenzi tele na kionyesha kunijali unadhani ni nani atauteka moyo wangu?
 
Mi nili invest wa demu mmoja nkajua atakuja kuwa wife to be, juzi amenipa stori kuwa alishabakwa na kuchoropoa mimba.
 
Wanaume mnalalamika sana Jf sijui tatizo ni nini!

Mna shida kubwa nyie viumbe hamna fadhila hata chembe ni kweli usiopingika mwanaune fanya yote hata nunua gari somesha, atakuja jamaa atajichekesha chekesha na mtoko wa jion moja umeshaondoka na umeshasahau kila kitu
 
Huyo anachezea bahat wenzake tunatafuta bahat kama hyo hatuipat
 
Simpo, na wewe tafuta mwenye Vitz umnunulie mafuta...
 

sio mkeo unamnunulia vitz inahusu?
vumilieni au la msiwekeze kwa wadada mtajiua
kila kukicha ooohoooo
 
ile theory ya kula na kuliwa ndo inafanya kazi hapo usijali....
 
mkuu pole sana hizo ni changamoto ndani ya mahusiano,usikate tamaa jipe moyo hayo ni mapito omba Mungu akupe hekima
 
Sasa kama umeninunulia iphone 5 lkn kila siku nasimangwa nayo na kunifanya mtumwa halafu kuna mtu ananiwekea vocha inayosindikizwa na maneno matamu na mapenzi tele na kionyesha kunijali unadhani ni nani atauteka moyo wangu?

Ehhhh mabwaku!sasa ndo usitumie pesa za watu ngangana na huyo anayekujali!
 
Habarini za jioni wanajamvi. Hivi hawa watu wakoje jamani? Yaani we umejibana umemnunulia ka Vitz lakini anakuja kukuona haufai kwa ajili ya jamaa aliyemnunulia mafuta ya sh10,000/- Haya hiyo kama haitoshi,umemnunulia smartphone lakini anakuja kumuona wa maana aliye mnunulia vocha ya sh 500. Bado..umempeleka chuo kwa gharama zako lakini anamuona wa maana mwanachuo mwenzie kwa sababu ya kusaidiwa kwenye masomo..woote hao wanamgegeda. Hivi kwanini hapo tusiwe ma Sniper.. INAUMA.

pole sana. huyo hakufai. kuwa makini. kumpiga sniper hakusaidii. wewe tafuta ustaarabu mwingine. atakukumbuka tu huko mbele wakati huo itakuwa too late.

vits kitu gani bana, smartphone kitu gani bana, duniani kuna maisha mazuri bila ya ulivyovitaja. hata toyo ni usafiri.
 
Back
Top Bottom