Inaumaa we acha tu

Inaumaa we acha tu

pole sana. huyo hakufai. kuwa makini. kumpiga sniper hakusaidii. wewe tafuta ustaarabu mwingine. atakukumbuka tu huko mbele wakati huo itakuwa too late.

vits kitu gani bana, smartphone kitu gani bana, duniani kuna maisha mazuri bila ya ulivyovitaja. hata toyo ni usafiri.

Nimekuelewa.
 
Tatizo mnainvest mali hamuinvest mapenzi. Sasa wa kuinvest mali ainvest ili mjanja wa kuinvest mapenzi aje halafu huyu wa kwanza akajifunze shabaha.
 
Munisi Mushi Si mbali tutasikia Muro.

Mambo kama haya ukikaa nayo mwenyewe ndio unachukua maamuzi kama yale...ndio maana mimi nimewashirikisha nyie.Ushauri wenu umesaidia na siwezi kufanya mambo ya ajabu tena.
 
Mangi umenisikitisha? Tena wa Mochi? Mleu...kitewo nkiki???

Embu pitia resheni upate moja kwanza utulize akili!

Nextym ujifunze investments zinafanywa kwenye assets kwa binadamu no!
 
Habarini za jioni wanajamvi. Hivi hawa watu wakoje jamani? Yaani we umejibana umemnunulia ka Vitz lakini anakuja kukuona haufai kwa ajili ya jamaa aliyemnunulia mafuta ya sh10,000/- Haya hiyo kama haitoshi,umemnunulia smartphone lakini anakuja kumuona wa maana aliye mnunulia vocha ya sh 500. Bado..umempeleka chuo kwa gharama zako lakini anamuona wa maana mwanachuo mwenzie kwa sababu ya kusaidiwa kwenye masomo..woote hao wanamgegeda. Hivi kwanini hapo tusiwe ma Sniper.. INAUMA.

Kwan mapenzi ya kweli yana exist ?? Tokea ni nusurike kupoteza mwelekeo wa maisha na pesa nyingi sanaa kwenye my business kisa mwanamke miaka ya nyuma. Since then all i trust is Jesus brother. Kuna mwanamke nko nae lakn i hardly open up fully to her. Siku akinitibua nafukuzia mbali. Adam mwenyewe alitendwa na Eva / Hawa miaka hiyoo sembuse wewe ???
 
Mangi umenisikitisha? Tena wa Mochi? Mleu...kitewo nkiki???

Embu pitia resheni upate moja kwanza utulize akili!

Nextym ujifunze investments zinafanywa kwenye assets kwa binadamu no!
Sawa Mkuu,, tunajifunza kupitia makosa.
 
Kwan mapenzi ya kweli yana exist ?? Tokea ni nusurike kupoteza mwelekeo wa maisha na pesa nyingi sanaa kwenye my business kisa mwanamke miaka ya nyuma. Since then all i trust is Jesus brother. Naishi na mwanamke lakn i hardly open up fully to her. Siku akinitibua nafukuzia mbali. Adam mwenyewe alitendwa na Eva / Hawa miaka hiyoo sembuse wewe ???
Daah!! Ila ndio uzuri wa kujieleza; kwanza inasaidia kupunguza hasira au huzuni na pia unasikia kutoka kwa wengine hivyo unapata ufunuo ya kwamba yanayokutokea yalishawakuta na watu wengine mahala na wakati fulani..Ahsante Mkuu.
 
Daah!! Ila ndio uzuri wa kujieleza; kwanza inasaidia kupunguza hasira au huzuni na pia unasikia kutoka kwa wengine hivyo unapata ufunuo ya kwamba yanayokutokea yalishawakuta na watu wengine mahala na wakati fulani..Ahsante Mkuu.

Bob hiyo mbona cha mtoto sanaaa......wengine wanapatwa na majanga makubwa huko usiulize. Mi nikiwa down nakuja hapa JF to gain back my self drive and energy at times unakuta matatzo ya wengine ni makubwa mno kushinda yako. So it fills me with soo much hope. We kama vp piga chini na songa mbele na life lako. You got a great life ahead of u. Don't open up fully to these creatures (women) man cz the aftermath of it can be sooo deadly.
 
Bob hiyo mbona cha mtoto sanaaa......wengine wanapatwa na majanga makubwa huko usiulize. Mi nikiwa down nakuja hapa JF to gain back my self drive and energy at times unakuta matatzo ya wengine ni makubwa mno kushinda yako. So it fills me with soo much hope. We kama vp piga chini na songa mbele na life lako. You got a great life ahead of u. Don't open up fully to these creatures (women) man cz the aftermath of it can be sooo deadly.[/QUOTE
Nimekubali uko sahihi.
 
Iv mnadhani ni peke enu wanaume wenye mioyo au mnadhani wanawake tuna chuma?,?.punguzeni kulalamika kwan ulilazimishwa kuhonga ...
 
Acha tu yalishanikuta nikaanza kusikia harufu ya damu damu,nika google kutafuta the easiest way to commit suicide,wacha niishie hapa,wakina Munisi siwashashangai m_sayi@yahoo.com

Zamani nilikua nashangaa sanaa na kulaumu pasipo kujua inakuaje mtu mzima ana commit suicide. Aisee nahsi kauli zangu zilinijengea laana nikaja kuyashuhudia mimi mwenyewe katika maisha yangu. (Nakumbuka nikiwa bado kijana mdogo nliambiwa kua uyaone, na kweli nikaja yaona) Ilibidi nitubu kwa Mungu kwa kinywa changu mwenyewe hii kitu isinifwatilie. Matatizo yasikie kwa watu nakwambia...usiombe kabsa yakukute. Nilipata somo ambalo lilini badilisha sana katika kufikiri kwangu na kuishi na watu ki ujumla. Hakuna kibaya kilinitokea ila still nilipoteza dira ya maisha takriban miaka kama mi 3 hv mpaka nika recover. So you can imagine hali ingekuaje if things went the other way round. Life is truly a learning experience. Unakuta mtu uliye muamini, kumjali na kumpenda sana anakuja kukufanyia vitu vya ajabu we mwenyewe unahisi kama ni ndoto au kitu gan (somebody please wake me up). Acha kabisa. In life everyone is fighting his/her own battle..we shudn't be quick to judge them if we actually don't know them. Fact is: Our failures in life can be used a stepping stone towards climbing the ladder of success.
 
Tenda wema nenda zako mjomba otherwise utapasuka kichwa maana hii Dunia ni nzuri sana tatizo tu binadamu.
 
kuna picha moja ya kihindi jamaa alitengeneza robot akawa ame li command kumlinda mchumba wake basi likawa linatimiza wajibu vizuri yule dada akawa anafurahi. siku moja akiwa na jamaa yake si akaanza kumsifia robot eti yaani hajawahi ona mwanaume kama yule anamlinda ana mjali akasahau kuwa aliyemfanya robt ni bwana ake sasa wewe huyo wa kwako anawasifia binadamu wenzio angesifia ambavyo havina uhai si ungejizika kabisa
 
Mna shida kubwa nyie viumbe hamna fadhila hata chembe ni kweli usiopingika mwanaune fanya yote hata nunua gari somesha, atakuja jamaa atajichekesha chekesha na mtoko wa jion moja umeshaondoka na umeshasahau kila kitu

vilivyokushinda kula usivitie shombo waachie wenzio
 
Back
Top Bottom