Inaumaa we acha tu

Inaumaa we acha tu

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,346
Reaction score
6,841
Habarini za jioni wanajamvi. Hivi hawa watu wakoje jamani? Yaani we umejibana umemnunulia ka Vitz lakini anakuja kukuona haufai kwa ajili ya jamaa aliyemnunulia mafuta ya sh10,000/- Haya hiyo kama haitoshi,umemnunulia smartphone lakini anakuja kumuona wa maana aliye mnunulia vocha ya sh 500. Bado..umempeleka chuo kwa gharama zako lakini anamuona wa maana mwanachuo mwenzie kwa sababu ya kusaidiwa kwenye masomo..woote hao wanamgegeda. Hivi kwanini hapo tusiwe ma Sniper.. INAUMA.
 
Pole ehhh!!Ndo ukubwa huo!!Kila mtu roho yamuuma jamani yangu mie si ndo itakuwa mahututi kabisa...kwishnei!
 
Hata vitabu vya dini vimenena wazi kabisa kuwa hawa viumbe inatupasa tuishi nao kwa akili sana
 
ni kweli inauma sana tatzo ha2liziki, em 2jfunze kuridhika basi......pole brou!!!!
 
Wanaume mnalalamika sana Jf sijui tatizo ni nini!
 
Habarini za jioni wanajamvi. Hivi hawa watu wakoje jamani? Yaani we umejibana umemnunulia ka Vitz lakini anakuja kukuona haufai kwa ajili ya jamaa aliyemnunulia mafuta ya sh10,000/- Haya hiyo kama haitoshi,umemnunulia smartphone lakini anakuja kumuona wa maana aliye mnunulia vocha ya sh 500. Bado..umempeleka chuo kwa gharama zako lakini anamuona wa maana mwanachuo mwenzie kwa sababu ya kusaidiwa kwenye masomo..woote hao wanamgegeda. Hivi kwanini hapo tusiwe ma Sniper.. INAUMA.

hahahahaha mkuu dawa ni kuwaufoo saro tu
 
Nilisema kama unahisi moyo wako mwepesi, usifanye investment utakuja ufe kwa presha, au ujiue mwenyewe..
 
Angalizo, kama wewe ni shabiki wa mapenzi, usinunue Bastola.
 
Mimi wa oldmoshi aise.
 
ni kweli bro inauma lakini lazima tujue kuwa binadamu anabadilika kimawazo na kimatamanio so, ukiona umemthamini mtu akabadilika jambo jema ni kukubali hali halisi na kuendelea na maisha yako
 
Ha haa haa eti SNIPER..hawa viumbe ndugu yangu ni tatizo..nyakati zimebadilika sana..tumia akili yako vizuri kufikia maamuzi! wako wengi sana kuliko sisi..tatizo kumpata the best..wengi wana tamaa..hawaridhiki!
 
Simplicity ujue ni heshima kumtaja mtu kwa majina yake yote matatu... Embu fanya hvyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom