Inauma ukigundua wewe ni mchepuko kwa mtu unaempenda

munimuni

Senior Member
Aug 19, 2014
110
69
Jamani mapenzi yanauma balaa hasa pale unapokuwa na mtu then baadae anakuja kukwambia yeye ni mke au mume wa mtu na umeshakolea sijui kinachofuata ni nini.

Ila jamani watu wengine muwe na mioyo ya huruma jamani kila mtu ana nyama sio jiwe.
 
Pole weee si bora hata umeambiwa,manake ungeweza kuja kufumuliwa marinda bila ridhaa yako,
 
jaman mapenz yanauma balaa hasa pale unapokuwa na mtu then baadae anakuja kukwambia yy n mke au mume wa mtu na umeshakolea cjui knachofuata n nn

Pengine ni excuse tu ya kutaka kukupiga chini kistaarabu...!!!
 
jaman mapenz yanauma balaa hasa pale unapokuwa na mtu then baadae anakuja kukwambia yy n mke au mume wa mtu na umeshakolea cjui knachofuata n nn,ila jaman watu wengne muwe na mioyo ya uruma jaman kila mtu ana nyama co jiwe

hebu malizia vizuri yamekukuta wewe au!!!???
 
anakupa uchauguzi... Stay but...put in mind or leave if you not agree!
 
Ukiingia kichwa kichwa huwa ndio matokeo yake. Unaishi kimahusiano na mtu hujui hata ABC zake. Mwingine anaulizwa hata umri wa gf/bf hajui. Mambo madogo yanadefine yale makubwa...!
 
jaman mapenz yanauma balaa hasa pale unapokuwa na mtu then baadae anakuja kukwambia yy n mke au mume wa mtu na umeshakolea cjui knachofuata n nn,ila jaman watu wengne muwe na mioyo ya uruma jaman kila mtu ana nyama co jiwe

Chochote ulichokizowea inauma kukiacha... pata muda utazowea tu
 
Utakoleaje faster hivyo kama chumvi? Una haraka gani? Yaani kama unasex sex tu just because you want to na sio ujenge kambi na kujisifu kuwa unamiliki jimbo
 
Back
Top Bottom