Inauma sana...

kumbe kule kutusifia na viapo vya kutusaliti hua mnatung'ong'a tu mkuu?

Mkuu,unajua maana ya trust nobody?

Kwenye hii dunia sio kwamba wanawake tu ndio wanachepuka ama kuvunja ahadi,hata wanaume wengi tu ni heart breakers,so usiact as if nyie wote ni watakatifu!!
 
Vijana mnahangaika bure tu. Hakuna utakachokifanya kumzuia binadamu mwingine kufanya alichodhamiria nafsini mwake kukifanya hasa katika suala tata na la kipekee kama mapenzi. Wewe mwamini mpenzi wako na timiza wajibu wako kwa kadri unavyoweza na mengine yaache. Na ili kuwa na usafi wa fikra na utashi, inabidi wewe mwenyewe kwanza uwe unaaminika. Vinginevyo utaishi maisha ya kinafiki tu yaliyojaa wasiwasi usio wa lazima.
 
Ingewezakana kuishi bila ku cheat kwenye mahusiano endapo tu kusingekua na mitandao ya kijamii.
Wachache watanielewa
 
[QUOTE2="Joanah, post: 35713496, member: 380996"]
Mkuu,unajua maana ya trust nobody?

Kwenye hii dunia sio kwamba wanawake tu ndio wanachepuka ama kuvunja ahadi,hata wanaume wengi tu ni heart breakers,so usiact as if nyie wote ni watakatifu!!
[/QUOTE]
umehisi sijakuelewa mkuu?
 
"anamgegeda vizuri sana"
Mjue wanaume tunawapenda na tunawatunzia sana heshima eeh? Ndio maana hata ukiwa mbovu bado tunalia vilio vyote na kukusifia kwa kazi nzuri. Sasa nawe usiende kujisifia, subiri usifiwe.
 
mkuu kuliko kutusifia na kutufichia madhaifu yetu then mkachepuka ni bora tu mkatuambia ukweli ili hata mkichepuka tusiumie sana
 
mkuu kuliko kutusifia na kutufichia madhaifu yetu then mkachepuka ni bora tu mkatuambia ukweli ili hata mkichepuka tusiumie sana
Una habari hata yule anaejijua kuwa ana shida anaumia sana akijua unachepuka!! Tena ndio unaona kakudharau.
 
Una habari hata yule anaejijua kuwa ana shida anaumia sana akijua unachepuka!! Tena ndio unaona kakudharau.
mkuu kwa nini ukishamjua hajiwezi why usiachane nae kuliko kucheat then akajua ukamuumiza?
 
Wachangia uzi na mleta uzi wote mnalialia tuu...

Mwanaume unakuaje na demu m1...matatzo mnayataka wenyew.
 
Back
Top Bottom