Pole sana nduguSiku kama ya leo..(alhamisi kuu)tarehe 13/4/2017 nilimpoteza Baba angu..Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani..Amen
Pole sana nduguSiku kama ya leo..(alhamisi kuu)tarehe 13/4/2017 nilimpoteza Baba angu..Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani..Amen
azidi kumlaza? inamaana tangu mwaka jana tarehe kama hizi bado tu mpaka leo hajalazwaPole sana ndugu yangu.... Mungu azidi kumlaza mahali pema mzee wetu
Mkuu wangu tuache kujadiri hili swala tafadhari maana mwenye uzi ana majonzi sasa tutazidi kuamsha hisia zake na kama kuna sehemu nimekosea naomba kusamehewa...azidi kumlaza? inamaana tangu mwaka jana tarehe kama hizi bado tu mpaka leo hajalazwa
duh pole sana ,alikufa siku moja na yesu hakika itakua walienda pamoja kwa Mungu babaPole sana,mm ijumaa kuu nilimpoteza mume Wangu miaka michache iliyopita
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa hiyo umeshapata aliyeziba pengo?