Partner habari yako banaa nirudishie ileHuyo siyo mwanaume ndugu yangu... Ujue kuna tofauti kati ya mwanaume na wakiume...mwambie mdogo wako aachane nae! Mwanaume suruali wa nini huyo?
Swahba mie bukheri kabisa, ukinijuza khali yako ntapata faraja zaidi.....Partner habari yako banaa nirudishie ile
buku niliyokukopa, halafu huyu mwanaume dah anyway hii ngoja niendelee kuitafakari...
nimemwambia amueleze mumewe anadai anamwambiagaLoly labda nikuulize swali umejaribu kumpa ushauri gani mdogo wako?
dunia na vituko vyake mpe pole mdogo wako..........
kuna kitu sikielewi mbona idadi ya wanaume wa sampuli hii wameongezeka sana tatizo ni nini?
Uchukue na bank slip kabisa ya kuonyesha malipo tukirudi kwenye mjadala huyu mdogo wake Loly bila shakaSwahba mie bukheri kabisa, ukinijuza khali yako ntapata faraja zaidi.....
Niko hapa bank nafanya mpango nikudipozitie hiyo buku yako...lol. Huyo mwanamume hebu endelea kumtafakari afu uje na majibu ya kuridhisha...
yaani hata sijui maana mapenzi yao hakua ya urafiki yalibezi kwenye kufunga ndoa walivyoona siye hatukujua yanayoendele huko nadani kwao hawajawahiyalibeziKabla ya ndoa alikuaje???
Usikute alikua hivyo hivyo mdogo wako akadhani wakiingia ndoani ndo mwanaume ataanza kufungua pochi.
Watu wengine hua wanalalamikia vitu ambavyo waliviona na kuvipuuza tangu mwanzo baadae kabisa...unakuta mtu anamlaumu mwenzake wakati alikumkubali kama alivyokua huku akitegemea mabadiliko ambayo hakuahidiwa.
Mpe pole mdogo wako...aendelee tu kulea wanawe maana hata akiacha hatokua anamkomoa mume.
dunia na vituko vyake mpe pole mdogo wako..........
kuna kitu sikielewi mbona idadi ya wanaume wa sampuli hii wameongezeka sana tatizo ni nini?
Lol bank slip ntaituma kesho kwa dar x'pres si elfu tano tu kutuma?...Uchukue na bank slip kabisa ya kuonyesha malipo tukirudi kwenye mjadala huyu mdogo wake Loly bila shaka
anajua tabia za mumewe vizuri na sio kwamba hizi tabia zime-develop ghafla tu kama hili jambo aliliona tokea mwanzoni na akuchukua hatua kujaribu kurirekebisha basi ni dhahiri hapa kimeumana tayari cha msingi yeye aendelee kulea watoto wake akizidi kumfuatilia huyu mwanaume atapata frustration zisizo na msingi