Inauma sana lakini Lakuvunda halina ubani

Inauma sana lakini Lakuvunda halina ubani

Acheni kumtania MUNGU Mwizi unamwambia RIP badala RIH???wakati mwingine tusiwe tunamdhihaki MUNGU maana yeye si wa kudhihakiwa wala kulazimishwa kuweka mtu peponi,matendo yetu ndiyo yatatufikisha peponi wala si maneno ya watu kuwa UWEKWE PEMA PEPONI.
Poleni sana;
Vijana wamekuwa wavivu sana
Wanataka kupata pesa kwa njia za mkato mkato

R.I.P. Kijana wetu.
 
Poleni sana,it is so touching,Wewe pia una kipaji kizuri cha uandishi wenye mvuto,Hata ingekuwa page 100 mtu hatapenda kusoma hadi mwisho,Nakushauri ukimaliza msiba tulia na tathmini uwezekano wa kuwa muandishi wa liwaya,kiukweli utawini sana
 
Back
Top Bottom