Inauma sana kumpenda mtu asiyekupenda

Jinsi ya kujitoa kwa mtu unaempenda sana na yeye hakupendi ni easy sana. Acha kabisa kuwasiliana nae by any means mwache usimpigie simu wala usimtumie text.
Ukiweza kwa siku 5 tu utaanza kumuona ni fala kama walivyo mafala wengine
Mimi ilinitokea baada ya mwezi akanitafuta anaomba msamaha baada ya kuona alikohamia hakuna maisha.Nikakutana nae nikamwambia mpigie simu huyo Lofa wako mwambie humtaki tena uko na mimi.Akamtukana mbofu kabisa.Baada ya hapo nikachukua simu nikampa mume mwenzangu pole, nikamwambia hawa ndio wsnawake.
Baada ya kuharibu nikamwambia hata mm sikuhitaji,hufai,mpuuzi wewe.Nikaondoka.
Alifika kwao aliugua ghafla alilazwa msongo wa mawazo.
 
Back
Top Bottom