Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
daah
yan hapo asitoe hata mia na asepe nyumba mama lazima aje ametia akiliLazima huyo mama atatia akili. Au apige kimya aone kama mama hatatoa hela ya chakula.
sasa kama mama hatak kubadilika kuna vitu vingine inabid ufanya emforcement tu mama lazima asalimu amriKwann haame nyumbani , alafu mtu baki aje kula maisha, kodi ya nyumba yao
Unaijua movie ya baby boy wewe? Ukiitazama ndio utapata uhalisia wa anachokutana nacho mtoa madamnase vibao huyo zee tegemezi la DAR na umfukuze humo Ndan maza akikataa mwambie amfuate anakoishi huyo zee la DAR.
Daaaaaaaah busara Kama hizi ndio tunazihitaji sisi vijana Wa Leo...Kwanza pole sana.!
lakini kunakosa kubwa umelifanya kuingilia Ndoa ya mama yako,kwa kumpiga marufuku baba yako(Mme wa mama yako) asifike nyumbani kwa Mke wake.
Yaani hapo nisawa nakumwambia huyo MZEE achane na mama yako.
Hicho ndio kimemfanya mama yako kuchukia kiasi kwamba kukaa kimya takribani hizo siku 3.
KIPI ULICHOTAKIWA KUFANYA:
• Ni kutafuta njia ya namna gani hiyo pesa ya kodi ya nyumba inakuwa na faida kwa familia bila kuingilia Mapenzi yao.
1. Ungeanza kumuuliza mama yako kuhusu jumla ya pesa inayopatikana kwenye kodi hiyo.
2. Ni nani anae pokea kodi hiyo.?
3. Pesa hiyo inawasaidia katika mahitaji gani?
4. Mama akikuuliza mbona maswali hayo mwanangu.
5. Hapo ndipo ungefunguka kwa mama kuwa unahari ngumu kiuchumi, hivyo hutoweza kuendelea kutoa pesa za mahitaji uliyokuwa unawahudumia, na kumuomba mama ajitahidi kusimami pesa ya kodi iliiwe inawasaidi kwenye mahitaji yenu muhimu.
-Hapa inaonekana mama alibweteka(kulizika) kwa pesa za mahitaji ya msingi unayowahudumia ndio maana hata kodi hajali tu na kuishia kutumiwa na kipezi wake(Mme wake).
CHAKUFANYA SASA.
-Kwanza muombe mama msahama, kisha zungumza nae na kumwambia kuwa ugumu wa maisha ndio umekufanya ukasilike hasa pale unapotumia juhudi kubwa kutafuta pesa za kuendeshea familia huku pesa ya kodi hujuwi inafanya Kazi gani, na inapokelewa na nani. Nasio kuingilia MAPENZI YAO(NDOA YAO)
Hapo kama mama ni mwenye Busara ata kuelewa.
...........pole sana ndugu.................

mkuuSimple...Siwezi kufanya hivyo, hata hao wapangaji wakitoa ela ya kodi mama alishawaambia mkinipa ela ya kodi wanangu wasione, sasa kama kasema hvyo kuna umuhimu wa kuulizia ela hapo? na maumivu tu hapa moyoni mwangu sina namna
Siwezi kufanya hivyo, hata hao wapangaji wakitoa ela ya kodi mama alishawaambia mkinipa ela ya kodi wanangu wasione, sasa kama kasema hvyo kuna umuhimu wa kuulizia ela hapo? na maumivu tu hapa moyoni mwangu sina namna