You seem to be bias
do you want all people to believe what is not true because of your political interest?
Kama dr slaa nia yake ingekuwa kusema ukweli kuhusu ufisadi wala siyo maslahi binafsi,angeweza
kujumlisha wale wote aliokuwa amewataja mwembe yanga,maana kikwete alikuwa kwenye orodha ya
mafisadi.pia angeweza kusemea ufisadi wa escrow maana ndio uliyotikisa nchi na wale wote waliiba
pesa za escrow wamepitishwa na chama chao.