Inaukweli wowote hiii,

Je, nikweli ukifanya mapenzi unachelewa kupona kidonda


Mbona swali lako halijajitosheleza. Hicho kidonda kipo wapi? Tumboni, mguuni, n.k? Je kimesababishwa na nini? Ni kidonda cha upasuaji au cha kawaida? The question is not well-posed.
 
Inategemea kama ni kidonda cha govi nakushauri acha kabisa huo mchezo mpaka upone kabisa
 
Back
Top Bottom