inauguration speech za wenzetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

inauguration speech za wenzetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gmwansasu, Jan 24, 2009.

 1. g

  gmwansasu Member

  #1
  Jan 24, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  jana nilikaa youtube muda mrefu nikiangalia inauguration speech za wakulu wa marekani, specifically George W. Bush Jr na Barrack H. Obama.
  katika speech ya George Bush mdogo nikagundua kitu kimoja, jamani wenzetu huwa wanafanya wanachokisema kwenye hotuba zao. nikim paraphrase, alisema marekani haitamvumilia yoyote ambae anakuwa tishio kwa marekani, na maneno menginemengine ambayo waziwazi yanaonyesha kabisa kuwa Sadam Hussein lazima apigwe, na akapigwa.

  kwenye speech ya Barrack Obama nimependa alivyosema "if market left alone will spin out of control" sasa jamani kama mkulu anasema hivyo sisi ni nani hata tuachie kila kitu kwa soko huria. serikali yetu ina nini sasa hivi jamani? reli, madini, mafuta, kila muhimu kimeachwa kwa soko huria. jamani hii ni sawa kweli?

  nadhani kuna haja ya kujifunza kwa wakulu hawa
  1. viongozi wetu wajunze kufanya wanachokisema wanapokuwa kwenye majukwaa
  2. tuachane na total liberal jamani, waliokwishaendelea wenyewe wametengeneza njia za kuangalia masoko na sio kuyaachia moja kwa moja, sisi tuna uchumi gani wa kachia soko huria ituendeshee mambo yetu?
  2.
   
 2. S

  Simoni Member

  #2
  Jan 24, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 67
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hata JK ukisoma speech yake siku anaapa na ile alioitoa bungeni tarehe 30 December 2005 yanayotokea sasa ni yale aliyoahidi atafanya. Fuatilia utagundua. 1. Suala la Rushwa na kauli yake tusilaumiane mbele ya safari. Kafanya nini kawatosa marafiki zake, EL, Chenge, Msabaha, Karamagi na bado. 2. Wanaoiba kama uko ushahidi wapelekwe mahakamani. Tazama wanufaika wa EPA, akina Mramba na Yona na Mgonja na wengine wako njiani. Balozi Mahalu n.k 3. Majambazi aliwapa notisi. Mnaonaje. Pamoja na kesi ya Zombe.4. Suala la kuwawezesha wanannchi wa kawaida kupata ajira. Mnaonaje mabilioni ya JK? 5 Ataendeleza mazuri ya awamu ya tatu. Tazama miundo mbinu inavyofanyiwa kazi. Jamani mbona yapo mengi. Bado wengine mtasema JK ni msanii? Mpimeni baada ya miaka 5
   
Loading...