Inatosha.

Inatosha.

[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mmoja ali mwandikia thread kiduku lilo. bila shaka PM yake imejaa sana wadada...kwa nini na wewe usiige mwandiko
Wahenga walisema "mpende akupendaye, asiyekupenda achana nae" hivyo mimi ni nani hata nisitii na kufuata hekima za mababu zetu Wa kale?

Nimeandika nyuzi kama tatu hivi, nikiwa na ombi la kupata mrembo ambaye kwa badae atakuwa Mrs. wangu, sijapiemuiwa hapa na dada yyte yule. Sasa inatosha

Nimejaribu kushusha vigezo mpaka kufikia hatua ya kuonekana natania lakini nimetoka kapa. Sasa nasema inatosha.

Wadada wa JF wanafiki sana...kila siku mnaandika nyuzi za kuomba mpatiwe Mme bora. Leo najitokeza kuomba kura mnaniyima. Ooh mara Nebu unavigezo vikubwa sijui unabagua dini,. Sasa nilivitoa vigezo vyote mlivyovilalamikia mbona hamjanipiemu sasa? Huo ni unafiki mkumbwa. Nasema inatosha.

Nyie si mpaka muone najimwambafy kama Kiduku Lilo ndo mjue kwamba na uwezo wa kuwahudumia? Anyway nshasema inatosha...nitampata zaidi yenu. Na ukiona uolewi hujue hiyo ni laana ya kukataa waoaji kama sisi.

Sitaki kuongeza wiki moja wala siku tatu kama serikali ilivyofanya kwa mafisadi. Nachoweza kusema tu kwa sasa inatosha.



Mke mwema anatoka kwa Bwana, hatoki JF.

Asanteni.
 
Nimecheka hadi machozi, nenda chit chat, mshana dawa zake zilifanya wanawake wanajisahau, wakaamuwa kuweka picha zao nusu,mshana akaongeza dozi wakaweka hadi nusu uchi, sasa wewe utakosaje mwanamke kwa promo ile?

Nenda uchakue kifaa kwenye ule Uzi wacha kulialia.
Mchana kawarahisisia kazi wacheni uzembe.

Mshana Mungu utamwambiaga nini? 😂😂😂😂😂😂😂
 
Nimecheka hadi machozi, nenda chit chat, mshana dawa zake zilifanya wanawake wanajisahau, wakaamuwa kuweka picha zao nusu,mshana akaongeza dozi wakaweka hadi nusu uchi, sasa wewe utakosaje mwanamke kwa promo ile?

Nenda uchakue kifaa kwenye ule Uzi wacha kulialia.
Mchana kawarahisisia kazi wacheni uzembe.

Mshana Mungu utamwambiaga nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nshapata jamani.
 
Back
Top Bottom