Inatosha.

Inatosha.

Hivi mkuu umeshindwa kutafuta wa mtaani kwako, kanisani/msikiti kwako, uliosoma nao, unaofanya nao kazi, unaochat nao WhatsApp, unaokutana nao kwenye mizunguko yako ya kila siku ukajichagulia sample unayoitaka kwa vigezo vyako ukaamua kuja kutafuta mke hapa ?
 
Nakazia
 
Nimeacha nao wadada wa JF...
 
Pole sana...

Subira yavuta kheri, usikakte tamaa, watakuja tuu...

Ukianza kuwakasirikia mapema hivyo, ukimpata sii utamng'oa meno...

Cc: mahondaw
 
Tatizo unajiweka wa kawaida mnooooo adi mtu unaskia harufu ya dhiki kwenye uzi wako 😀 😀 😀 😀 wadada wanapenda wa kujimwambafy bana nan anataka mwanaume wa kawaida?????
 
Back
Top Bottom