Inatosha.

Inatosha.

Nenda mtaani hutojuta ni techniques zako tu unapata watoto kama wote

Ubongo ni mzuri ukijua kuutumia MI ni mlevi ila you have no idea wati am capable of doing wu is ze hell is me.. Wu Iam

[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mrembo kvant ashakukoleza
 
Tatizo unajiweka wa kawaida mnooooo adi mtu unaskia harufu ya dhiki kwenye uzi wako 😀 😀 😀 😀 wadada wanapenda wa kujimwambafy bana nan anataka mwanaume wa kawaida?????
Sasa unataka niigize?

Mimi ni mwananchi wa kawaida tu....sins gari, sina nyumba nimepanga. Ghetto kibatari kuchaji simu kwa jirani.

Huyo ndo mimi.
Nilikuwa nataka wa kuchakalika naye.
 
Nan achakalike afu mpate akupe jina mjini afu umuache pambanaaa
 
Bravo miss uko vzr jamaa ameshusha thamani yake ajaribu ku act expensive sio kuigiza
Tatizo unajiweka wa kawaida mnooooo adi mtu unaskia harufu ya dhiki kwenye uzi wako 😀 😀 😀 😀 wadada wanapenda wa kujimwambafy bana nan anataka mwanaume wa kawaida?????
 
Dahhhh....!!
Kwanza nikupe pole kwa changamoto unayo pitia.
Pili nakushauri tu kwamba, do not take Jf so serious.
Na mwisho nikukisowe kwa uandishi wako wa kibabe, wenye kupoteza contents nzima ya kile unacho kilenga hasa.
Kumbuka tu hawa viumbe ili uwanase inahitaji akili na sio nguvu.
Mwisho kabisa niseme tu kwamba huu mchezo hauhitaji hasira, and all the best.
Hapo kwenye kutoichukulia JF serious nimepaelewa sana mkuu, nimefunguka akili, mawazo na fikra.
 
Ngoja nikutafsirie vzur jaribu kuwa expensive to have or to catch hii namaanisha unabadili kabisa mfumo wa maisha yako na Badhii ya tabia unnecessary na sio za lazima na hazina faida

Mfano badili muonekano wako wa mavazi na jaribu kujijali usivae ili mradi umevaa umaradidi unaficha umaskini lakini haimaanishi Kama unaiga utajiri

Badilisha company na sehemu unazoshindia tafuta exposure kubwa kwa watu tofauti kwenye wengi pana mengi na utakutana na wengi na kitu cha kunote hzo sehemu ziwe na faida sio club ila kama ni mlev kama Mimi club ndo nyumbani ukute company yako kubwa na mizungoko yako mengi Hakuna interaction ya wanawake hawapo utawaona wapi?

Usipende kushinda eneo mmoja mpaka wakukariri Mfano mtaani we potea utaonekana mtu wa mishe una shida na mtu , nk na usiwe na shobo na muongeaji sana huko kazin kwako salimia wachuchu pita hivi kuwa gentlemen muhuni ..uhuni wa faida na uwe unaongea contents za maana maneno ya busara sio matusi Kama sisi walevi na ucheshi kdogo kuwa mcheshi Bob kwa wanaokuzunguka ukizidisha utakuwa boya

Ngoja nikalewe Kwanzaa ntarudi....
...Sa ku act si ndo kuigiza?
 
Mi si wa hivyo...namdhamini sana niliyesota nae.

Amini hivyo tu
Pata pesa ndo tabia ako itajulikana vizuri....BTW mi niko tayari baby ila jitaidi basi ata uwe na ka brevis mi staki mandinga makubwa napenda uwe nausafiri tu raha yangu niko salon, niko job, niko kwa shost, au home babe wangu ananipigia sim eti honey nakuja kukupik apo toka nje 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 wadada akili zao wanazijua wenyewe
 
Sawa mlevi mwenye hekima zake...japo mm hzo sifa ninazo...mi nilitaka wa JF. maana hawa wadada wa humu wana akili sana. Kwa navyoona.
 
Bravo miss uko vzr jamaa ameshusha thamani yake ajaribu ku act expensive sio kuigiza
Well said, mi binafsi nina ugonjwa huo, sipendi kuigiza na napenda niishi kama ninavyoishi kawaida tu ila ni mtu expensive sana sio wa kumchukulia poa, hivyo hata watu ninaokuwa nao napenda sana wawe natural sio watu wa maigizo ingawa naitaji pia watu standard.
 
Pata pesa ndo tabia ako itajulikana vizuri....BTW mi niko tayari baby ila jitaidi basi ata uwe na ka brevis mi staki mandinga makubwa napenda uwe nausafiri tu raha yangu niko salon, niko job, niko kwa shost, au home babe wangu ananipigia sim eti honey nakuja kukupik apo toka nje 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 wadada akili zao wanazijua wenyewe
Mi siwezi badilika kisa pesa.

Trust me.
 
Well said, mi binafsi nina ugonjwa huo, sipendi kuigiza na napenda niishi kama ninavyoishi kawaida tu ila ni mtu expensive sana sio wa kumchukulia poa, hivyo hata watu ninaokuwa nao napenda sana wewe natural sio watu wa maigizo ingawa naitaji pia watu standard.
Basi kwa hili tunaendana.
 
Pata pesa ndo tabia ako itajulikana vizuri....BTW mi niko tayari baby ila jitaidi basi ata uwe na ka brevis mi staki mandinga makubwa napenda uwe nausafiri tu raha yangu niko salon, niko job, niko kwa shost, au home babe wangu ananipigia sim eti honey nakuja kukupik apo toka nje 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 wadada akili zao wanazijua wenyewe
Karibu soda hpa kwa mama Chausiku
 
Kama uko hvyo lazima watu wakuheshimu
Unaonekana Kama mtu Fulani hivi important ata ukisema jambo kweny kundi au company yeyote ile lazima usikilizwe

Back
Top Bottom