Inatosha.

Inatosha.

Ngoja nikutafsirie vzur jaribu kuwa expensive to have or to catch hii namaanisha unabadili kabisa mfumo wa maisha yako na Badhii ya tabia unnecessary na sio za lazima na hazina faida

Mfano badili muonekano wako wa mavazi na jaribu kujijali usivae ili mradi umevaa umaradidi unaficha umaskini lakini haimaanishi Kama unaiga utajiri

Badilisha company na sehemu unazoshindia tafuta exposure kubwa kwa watu tofauti kwenye wengi pana mengi na utakutana na wengi na kitu cha kunote hzo sehemu ziwe na faida sio club ila kama ni mlev kama Mimi club ndo nyumbani ukute company yako kubwa na mizungoko yako mengi Hakuna interaction ya wanawake hawapo utawaona wapi?

Usipende kushinda eneo mmoja mpaka wakukariri Mfano mtaani we potea utaonekana mtu wa mishe una shida na mtu , nk na usiwe na shobo na muongeaji sana huko kazin kwako salimia wachuchu pita hivi kuwa gentlemen muhuni ..uhuni wa faida na uwe unaongea contents za maana maneno ya busara sio matusi Kama sisi walevi na ucheshi kdogo kuwa mcheshi Bob kwa wanaokuzunguka ukizidisha utakuwa boya

Ngoja nikalewe Kwanzaa ntarudi....
Ahahaha wakati naanza kupita hapa, nikajikuta narudia mara mbili mbili kuisoma I'd. Ila kila nikirudia, naona jina linasoma MLEVi Mmoja...!!?

Sasa nikaanza kujiuliza huyu MLEVi Mmoja vipi tena, leo ajasukutua?. Kumbe kweli bhana.....ndio unaenda sasa!!

Kila la kheri ndugu.
 
Kweli duniani, tupo wawili wawili. I see my shadow...
Well said, mi binafsi nina ugonjwa huo, sipendi kuigiza na napenda niishi kama ninavyoishi kawaida tu ila ni mtu expensive sana sio wa kumchukulia poa, hivyo hata watu ninaokuwa nao napenda sana wawe natural sio watu wa maigizo ingawa naitaji pia watu standard.
 
Basi tena nishachelewa, sijaziona hizo nyuzi
 
Wa huko mtaani ndo haohao wa jf ila tofaut ukiona mtu anaijua jf ana mpaka [emoji723] anakuwa something special either yupo vzr kielimu au masuala mengine hyo ni Theory tu sio lazima iwe na ukwel ila choice ni yako hata mbingun we tafuta tu

Walevi hatuna hekima sisi ni watu wa hovyo acha kutukosea adabu
Sawa mlevi mwenye hekima zake...japo mm hzo sifa ninazo...mi nilitaka wa JF. maana hawa wadada wa humu wana akili sana. Kwa navyoona.
 
Niko tayari babe ila jitaidi uwe na ka usafiri mi staki gari cha muhimu usafiri tu mpenz, usije nunua ist ukajiita mwenye gari sema nina usafiri 😀 😀 😀 😀
Njoo kwangu mrembo Mimi nina kausafiri tena ka bombadier ila kanatumika saa nane za usiku automatically ndo kanafanya kazi

Nasemea ungo wa kichawi niliopewa na bibi yangu Njoo tupae mrembo tuwakanyage wambea
 
😳 😳 😳 😳 😳 usafiri gan huo usoitwa chombo cha moto, usokuwa na plate no.
😀😀😀😀😀 nataka usafiri wa kunipik wenzangu wananiona bana, umejitaidi ila ujafikia uhitaji wangu
 
Mbona hata tukitakaa tunaweza paa mchana mashoga zako wakakuona
😳 😳 😳 😳 😳 usafiri gan huo usoitwa chombo cha moto, usokuwa na plate no.
😀😀😀😀😀 nataka usafiri wa kunipik wenzangu wananiona bana, umejitaidi ila ujafikia uhitaji wangu
 
Wa huko mtaani ndo haohao wa jf ila tofaut ukiona mtu anaijua jf ana mpaka [emoji723] anakuwa something special either yupo vzr kielimu au masuala mengine hyo ni Theory tu sio lazima iwe na ukwel ila choice ni yako hata mbingun we tafuta tu

Walevi hatuna hekima sisi ni watu wa hovyo acha kutukosea adabu
Sawa mkuu
 
Njoo kwangu mrembo Mimi nina kausafiri tena ka bombadier ila kanatumika saa nane za usiku automatically ndo kanafanya kazi

Nasemea ungo wa kichawi niliopewa na bibi yangu Njoo tupae mrembo tuwakanyage wambea
Sasa mbona tunageukana tena hujui kwamba nishaweka kambi kwa huyu.

Sweet16 mpenzi hebu muone huyu mchokozi.
 
Back
Top Bottom