Inatokeaga maishani

Inatokeaga maishani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1409059582254.jpg
 
Mshana Jr. ni kweli inatokeaga maishani kama ilivyokutokea juzi ukalipwa kwa pesa feki. Hebu twambie hao watu mliwakamata?

Tiba
 
Mshana Jr. ni kweli inatokeaga maishani kama ilivyokutokea juzi ukalipwa kwa pesa feki. Hebu twambie hao watu mliwakamata?

Tiba

Thanx Tiba tunapigwa danadana tumetoa namba za watuhumiwa na location zao na mengine mengi lakini ndo hivyo tena hakuna uptodates za maana
 
Last edited by a moderator:
Thanx Tiba tunapigwa danadana tumetoa namba za watuhumiwa na location zao na mengine mengi lakini ndo hivyo tena hakuna uptodates za maana

Pole, ndio tz hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Sometimes YES. Kufail kunaweza kuwa ni blessing in disguise. Unaachwa udondoke ili uokote kitu ambacho kama usingedondoka basi usingekipata kwa kusimama tu (ku-win). Unapofail kung'uta mavumbi na usimame na jifunze kitu hapo
 
Back
Top Bottom