Inawapa amani zaidi manake akiku-cheat mtu anayekuchezea kwa kidole tu haiumizi sana kama ambavyo angeku-cheat mtu anayekuchezea na "mkulungu". Ni influence ya "western cultures" ambayo vijana (wadogo zetu) wengi wanaiga ili waonekane wa kimagharibi zaidi na kwamba wanaenda na wakati. Upuuzi mtupu! Sijui nani kawaambia kinu kwa kinu kinaivisha kisamvu, wanadhani aliyeweka kinu na mchi alikuwa mjinga!