sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,237
- 8,992
weka pichaNina passo bado mpya kabisa, naiuza nataka ninunue kiwanja njoo na hiyo pesa nikupe gsri imetunzwa sana inatoboa popote ulipo hila kusimama njiani. Ukilipa tu nakuletea mpaka ulipo wala hina haja ya kuja na fundi. Ndo kwanza ina 60k km