Inatafutwa Gari ya 6M chapu

Inatafutwa Gari ya 6M chapu

Chukua hii
Ukiipenda tuwasiliane
0713096076

IMG-20220226-WA0016.jpg

IMG-20220226-WA0017.jpg

IMG-20220226-WA0018.jpg

IMG-20220226-WA0015.jpg
 
Nina shida ya gari.

Budget yangu 6M.

Gari iwe kati ya Vits new model(engine 1N) namba D,Spacio new model hata namba C,Ist hata namba C,Raum hata namba C.

Iwe kati hali nzuri,Isiwe na kipengele ni kuwasha na kuchanja mbuga.

Nipo na fundi makini sana kwahiyo km tunafanya biashara basi iwe straight isiyo ya kihuni huni.

Fundi ndio wa kwanza kukupiga pesatena anapiga huku na huku unanunua kimeo ukaangaike nacho
 
Nina passo bado mpya kabisa, naiuza nataka ninunue kiwanja njoo na hiyo pesa nikupe gsri imetunzwa sana inatoboa popote ulipo hila kusimama njiani. Ukilipa tu nakuletea mpaka ulipo wala hina haja ya kuja na fundi. Ndo kwanza ina 60k km
 
Engine yake?? Boss
 
Sossy hana uongo

Sossy nimetoka kwake hata week haijaisha.

Tumekubaliana tukutane sehemu mimi nimefika saa 3 asubuh yeye hadi saa 6 na nusu hajafika

Nikasema hata kama nina shida ila sio ndo nimsuburi mtu masaa 3:30 nikaondoka bila kumwambia nione atafika sa ngapi,saa 8:15 ananipigia nikamwambia nimeondoka

Kile kitu kilikwazA nikaacha kabisa kufuatilia kwenye page yake.
 
Sossy katisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom