Inatafutwa Gari ya 6M chapu

Inatafutwa Gari ya 6M chapu

dre4691

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2016
Posts
549
Reaction score
518
Nina shida ya gari.

Budget yangu 6M.

Gari iwe kati ya Vits new model(engine 1N) namba D,Spacio new model hata namba C,Ist hata namba C,Raum hata namba C.

Iwe kati hali nzuri,Isiwe na kipengele ni kuwasha na kuchanja mbuga.

Nipo na fundi makini sana kwahiyo km tunafanya biashara basi iwe straight isiyo ya kihuni huni.
 
Looking for a car? TCV Japan's largest car market..
Na nyingine nyingi...bongo lazma iwe na kipengele tu

IMG_4776.png

Kaka kwani kilikukuta nini????
 
Gari zote janja janja...alafu fund wako uyo wanaongea nae wanampa cha juu....siku ukienda garage ndio utapata ukwel wa gari hyo...bora uagize japan, tena tafuta yenye low mileage..

Sasa ukiona siagizi huko ujue sina ubavu huo kwa sasa na sitaki kunyeshewa na mvua vile vile.

Fundi wangu sio tu fundi ni mshikaji.

Napo kuna 1.5M ipo pembeni kwa ajili ya km fundi asipoona tatizo kwa bahati mbaya basi ita cover hizo cost
 
Sasa ukiona siagizi huko ujue sina ubavu huo kwa sasa na sitaki kunyeshewa na mvua vile vile.

Fundi wangu sio tu fundi ni mshikaji.

Napo kuna 1.5M ipo pembeni kwa ajili ya km fundi asipoona tatizo kwa bahati mbaya basi ita cover hizo cost
Bora ungesema una mil 8 kuliko hiyo 6....pia muuzaji awe mmiliki maana dalali atakupiga.
 
Njoo PM nikutumie gari la bei hiyo,ni jekundu hivyo kama wewe ni Mwananchi sijui kama itakuwa kikwazo kwako,karibu PM
 
7.5 mil hiyo ni namba D tena ambayo haina kipengele zaidi ya vitu vidogo vidogo
 
Njoo nikuuzie wish namba ni DMF black . Kipengele ni kununua tyres tu maana zimeisha.

Ila ongeza 1m kwa hiyo budget yako.
 
7.5 mil hiyo ni namba D tena ambayo haina kipengele zaidi ya vitu vidogo vidogo

Mi hata namba C fresh tu

Sema ukiweka hapo 7.5M ujue utakuja kufikisha 9 M ndo gari itakaa sawa sasa unajikuta bora ungejichanga ununue tu gari ya japan tu
 
7m
Ist, raum au spacio new unapata iliyo vizuri
Ila kwa 6m changamoto hazikosekani

Sawa

Lkn changamoto sio kwenye vitu ambavyo gharama sana mpk unajikuta unatumia tena 2.5 M kwa matengenezo tu
 
IST #C Z L


mwaka 2004
engine 2Nz
engine 1290 Cc

low mileage +KILOMETERS
full A/c
originally rim's
wheel caps
new tyre
haija rudiwa rangi zaidi ya bampa tuu
gari ni kali mnoo
Price 6.5 (fixed)
View attachment 2131758View attachment 2131759

Ina changamoto gani yeyote ile maana mi sipendi biashara za kuzungushana siku nzima.

Gari inakaguliwa then malipo tunaachana hivyo nijue kabisa km ina shida tusipotezeane mda mimi na wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom