Inasikitisha

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
[h=3]MAJONZI, HUZUNI, NA SIMANZI ZIMETAWALA LEO MAENEO YA KIJENGE JUU KATA YA KIMANDOLU ILIYOKO MKOANI ARUSHA BAADA YA KITOTO KICHANGA KUKUTWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVESI[/h]
Mtoto mwenye umri wa siku moja mwenye jinsia ya kike aliyetupwa akiwa ndani ya ndoo kama anavyoonekena katika picha ya juu na chini

<tbody>
</tbody>
baadhi ya watu waliojitokeza kushangaa tukio hilo la mtoto huyo akiwa ndani ya ndoo

<tbody>
</tbody>




Afisa wa polisi akiuchukua mwili wa mtoto huyo uliofungwa na kanga uliootolewa na msamaria mwema mda mfupi baada ya kutaarifiwa kuhusu tukio hilo

<tbody>
</tbody>
 
Wanawake ndio tumekuwa wanyama kiasi jamani?
 
Hivi wale wenye kutupa watoto, huwa wanajisikiaje/wanajibu nini pale wanapoulizwa kuhusu watoto wao na watu waliowaona wakiwa na ujauzito?.. worse wale waliopata taarifa kwamba fulani amejifungua?
(Maana hata kama ukisema mtoto aliaga dunia, mvona hakuzikwa)?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom