- Thread starter
- #21
Unaulizwa kifaa bei gani hujibu, unaambiwa vifaa vimetolewa msaada labda utaomba thread ifutwe sasa.
acha ubishi wa kijinga tanapa wenyewe ndio walisema wananunua vifaa kwa bei hyo pia UKISEMA NI MSAADA NAKUPINGA, hakuna msaada wa bure ww ndio yale majitu home hakuna hela unakubali mke wako awe anaewa hela na marafiki pumba kabisa wewe