Mwa chando
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 359
- 122
Baba na mama
baada ya kurudi kazini pamoja
wakakuta BARUA
iko mezani SEBULENI ikisema....
"Baba na mama, ni matumaini yangu
kuwa mtasoma ujumbe wangu huu
kwenye karatasi niliyoiweka juu ya
meza, naomba msishtuke mana ni
mambo ya kawaida kwenye maisha
tunayoishi, najua mtaumia kwa vile
bado nasoma na ndo nipo kidato
cha
kwanza..." Napenda kuwajulisha
kwamba sasa hivi mnaposoma hii
barua sipo nyumbani, nimetoroka
mana
nimegundua nina
uwezo wa kujitegemea kwa sababu
mi
ni kijana
mwenyewe umri wa miaka 14 na
ninajua kipi chema na kipi kibaya.
Tangu mwezi mmoja uliopita
nilikuwa
na uhusiano na binti mmoja
aliyeitwa
Rachel, mwenye umri wa miaka 27
na
kwa sasa ndo naishi naye kwenye
chumba alichopanga. Nilipokuwa
nyumbani sikuwa napata hela za
kutosha ila sasa nimeanza kushika
noti
za shilingi 10,000... Msichana
niliyenaye ni mzuri sana wa umbo
na
ninampenda sana, amenifundisha
njia
za kutafuta hela. Amenipangia kazi
ya
kuuza madawa ya kulevya na yeye
ikifika usiku anaenda kuuza mwili
wake, basi kila siku tunapata hela ya
kutosha, huyu mchumba wangu ni
msichana mwenye bidii, kwa siku
analala masaa 6 tu maana
mwanaume
yeyote akija lazima awe naye
chumbani kwa muda wa masaa 3.
Msiwe na hofu, nipo salama kabisa
na
nimeamua kumwoa Rachel mana ni
kila kitu kwangu. Pia amenunua gari
la
kubebea mbao kwahiyo biashara
inaenda vizuri, Rachel ameenda
kupima afya na amekutwa na
upungufu wa kinga mwilini,mara
nyingi
namridhisha anapotaka kitu flani,
iwe
kufanya naye mazoezi ya viungo au
kufanya naye mapenzi, si mnajua
unapokuwa na mgonjwa unakuwa
naye
karibu, ila mi pia sijihisi vizuri mana
kila saa nakohoa tu na sina uhakika
kama nimeathirika. Tumepanga
baada
ya miaka miwili tutawatembelea,
nadhani mpaka miaka miwili iishe
atakuwa ameshajifungua, na ni
furaha
yangu mtamwona mjukuu wenu.
Wazazi wangu sina la kuongeza
kwaherini Mungu akipenda
tutaonana. NB: "Baba na mama, mi
nipo chumbani kwangu najisomea,
mnachokisoma ni h/work ya mwalimu
wa kiswahili alituambia tutunge
hadithi
fupi ya kusisimua, naomba
muiangaliekama kuna makosa!"
baada ya kurudi kazini pamoja
wakakuta BARUA
iko mezani SEBULENI ikisema....
"Baba na mama, ni matumaini yangu
kuwa mtasoma ujumbe wangu huu
kwenye karatasi niliyoiweka juu ya
meza, naomba msishtuke mana ni
mambo ya kawaida kwenye maisha
tunayoishi, najua mtaumia kwa vile
bado nasoma na ndo nipo kidato
cha
kwanza..." Napenda kuwajulisha
kwamba sasa hivi mnaposoma hii
barua sipo nyumbani, nimetoroka
mana
nimegundua nina
uwezo wa kujitegemea kwa sababu
mi
ni kijana
mwenyewe umri wa miaka 14 na
ninajua kipi chema na kipi kibaya.
Tangu mwezi mmoja uliopita
nilikuwa
na uhusiano na binti mmoja
aliyeitwa
Rachel, mwenye umri wa miaka 27
na
kwa sasa ndo naishi naye kwenye
chumba alichopanga. Nilipokuwa
nyumbani sikuwa napata hela za
kutosha ila sasa nimeanza kushika
noti
za shilingi 10,000... Msichana
niliyenaye ni mzuri sana wa umbo
na
ninampenda sana, amenifundisha
njia
za kutafuta hela. Amenipangia kazi
ya
kuuza madawa ya kulevya na yeye
ikifika usiku anaenda kuuza mwili
wake, basi kila siku tunapata hela ya
kutosha, huyu mchumba wangu ni
msichana mwenye bidii, kwa siku
analala masaa 6 tu maana
mwanaume
yeyote akija lazima awe naye
chumbani kwa muda wa masaa 3.
Msiwe na hofu, nipo salama kabisa
na
nimeamua kumwoa Rachel mana ni
kila kitu kwangu. Pia amenunua gari
la
kubebea mbao kwahiyo biashara
inaenda vizuri, Rachel ameenda
kupima afya na amekutwa na
upungufu wa kinga mwilini,mara
nyingi
namridhisha anapotaka kitu flani,
iwe
kufanya naye mazoezi ya viungo au
kufanya naye mapenzi, si mnajua
unapokuwa na mgonjwa unakuwa
naye
karibu, ila mi pia sijihisi vizuri mana
kila saa nakohoa tu na sina uhakika
kama nimeathirika. Tumepanga
baada
ya miaka miwili tutawatembelea,
nadhani mpaka miaka miwili iishe
atakuwa ameshajifungua, na ni
furaha
yangu mtamwona mjukuu wenu.
Wazazi wangu sina la kuongeza
kwaherini Mungu akipenda
tutaonana. NB: "Baba na mama, mi
nipo chumbani kwangu najisomea,
mnachokisoma ni h/work ya mwalimu
wa kiswahili alituambia tutunge
hadithi
fupi ya kusisimua, naomba
muiangaliekama kuna makosa!"