Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Sawa, umepiga kwenye mshonoUkiona hivyo hukopesheki…
Na pia hela ya mwingine usiione uchungu, hujui ka hustle vipi kuipata. Wacha afurahishe nafsi yake. Ukikutana nae fainali vimemuendea kombo utamcheka yaishe, sawa?
NimekomaKabla hujamfuata alikuwa na mipango yake tyr,,
Pili baadhi ya watu wengine wana maumivu ya walichowekeza kwa wanadamu wenzao wakaambulia dharau,,
Tatu kukubalika na kukataliwa yote ni sehemu ya maisha yetu