Inasikitisha kiongozi kuwaza kufuta upinzani nchini kuliko kuwaza kuletea wananchi maendeleo

Arovera

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
3,375
Points
2,000

Arovera

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
3,375 2,000
Wakuu,

Hapo ndio tumefikia tena viongozi wengi wanawaza kufuta vyama vya upinzani kuliko kuwaza na kubuni njia mpya za kuleta maendeleo nchini.

Kiongozi anafanya ziara eneo walilochagua vyama vingine anawaeleza wananchi walikosea kuchagua hii sio sawa kabisa naamini kua na watu wenye mawazo tofauti ya unayoyaamini ni vizuri zaidi.

Kiongozi bora ataacha alama kwa ubunifu mkubwa wa kiamaendeleo kwa jamii yake na sio kuwaza vyama vingine vikose majimbo au kata ndio furaha yake hapana viongozi wabadilike ili tusonge mbele.
 

Forum statistics

Threads 1,390,778
Members 528,266
Posts 34,061,642
Top