Sasa kosa lako la kusahau password au login information unadhani litatatuliwa na mtu wa IT zaidi ya hiyo re-installation? Hizi ideas zipo sana maofisini, unakuta mtu ana.create account yenye options kibao iwapo atakuja kusahau password, halafu unakuta amesahau kila kitu kuanzia password yenyewe, alternate e-mail hadi secret questions, halafu anategemea msaada wa Systems Admin ambaye hana privilege yoyote kwenye hiyo system, basi ili mradi tu unaitwa mtu wa IT kila system wanadhani utaweza kuingia!