[h=2]SOMA HAPO CHINI.
Nimepata only two reply, lakian was not helpful, walionijibu nawashukuru sana lakini si dhani kama wao ni ma-IT wa ukweli, hawako detailed. wana JF msaada bado kwa hiyo thread hapa chini.
Masada WA ku- unlock my phone: Samsung galaxy s.[/h]Ni simu yangu niliinunua 2 years back. password ya kufungua simu naifahamu, ila kuna mtu aliichezea kwa kujaribu kuifungua, kisha ikajifunga. TOO MANY PATTERN ATTEMPTS! Now inahitaji ni sign in with my Google account ili ifunguke.
Tatizo nimesahau na pale nilipotunza hiyo my Google account and password nimetafuta sana in three days sijaona hizo kumbukumbu. PIA NI COUNTY SIDE. Hiyo WANA JF, naomba msaada wenu. SIMU ZINAINGIA KAMA KAWAIDA, TATIZO SIWEZI KUPIGA NA KUFANYA MAMBO YOTE MENGINE YA MUHIMU. Ni very serial issue!! Ahsanteni.

Ahsnte for a very good question.
Nilikuwa natumia TO DRAW PATTERN na mpaka sasa nakumbuka how to unlock it by pattern unlock, isipokuwa jamaa yangu alijaribu mara zaidi ya tatu ku unlock by pattern keys, ndipo ilipoleta TOO MANY PATTERN ATTEMPTS!!Sasa indai TO UNLOCK, SIGN IN WITH YOUR GOOGLE ACCOUNT. Kazi iko hapo mkuu, details zangu zilikuwa ndani ya hiyo simu kwenye MEMO. Home nilipotunza kumbukumbu zingine nimetafuta kwenye nyaraka zangu mpaka HOI.
Ahsante.

Ahsante.[/QUOTE
Duh!!
Just download stock rom ya samsung galaxy S then flash it via Odin!!
Sent from my SGH-I897 using Tapatalk 2
Sasa unaomba msaada kwa nani kama unajua hakuna ma-IT-. Kwan ni lazima? Fata ushauri mzuri wa C6,nenda kwa mafundi. Ushauri wa bure kuwa na japo busara kidogo istoshe kuna mawili unapoomba msaada usaidiwe ama husisaidiwe.
Nashukuru, ila mm sielewi chochote, ila ninazo cd mbili original za hi phone. Kama kuna mtu aliye na ujuzi please, amitumie namba zake humu nitam call, or tutaongea.
SOMA HAPO CHINI.
Nimepata only two reply, lakian was not helpful, walionijibu nawashukuru sana lakini si dhani kama wao ni ma-IT wa ukweli, hawako detailed. wana JF msaada bado kwa hiyo thread hapa chini.
Masada WA ku- unlock my phone: Samsung galaxy s.
Ni simu yangu niliinunua 2 years back. password ya kufungua simu naifahamu, ila kuna mtu aliichezea kwa kujaribu kuifungua, kisha ikajifunga. TOO MANY PATTERN ATTEMPTS! Now inahitaji ni sign in with my Google account ili ifunguke.
Tatizo nimesahau na pale nilipotunza hiyo my Google account and password nimetafuta sana in three days sijaona hizo kumbukumbu. PIA NI COUNTY SIDE. Hiyo WANA JF, naomba msaada wenu. SIMU ZINAINGIA KAMA KAWAIDA, TATIZO SIWEZI KUPIGA NA KUFANYA MAMBO YOTE MENGINE YA MUHIMU. Ni very serial issue!! Ahsanteni.
Siku nyingine mtembelee Mr. Google, huwa si mchoyo wala hachelewi kukupa majibu.
If you selected YES, all data including third-party applications will be deleted from the Samsung Galaxy S. Once the wipe is complete, the phone will reboot to its factory fresh state.
- Turn the power off. If your Samsung Galaxy S is frozen, pull the battery out and reinsert it
- Hold the Volume Down button
- Press and release the Power button
- You are now presented with a menu that allows for Fastbook, Recovery, Clear Storage, and Simlock
- Select Clear Storage by pressing the Volume Down button
- Press and release the Power button
- Now simply confirm your decision: Volume Up for YES and Volume Down for NO
atarudi tena kuuliza mtaalamu wa IT ww subiri tu