mgumu4real
Member
- Jul 5, 2013
- 11
- 4
hivi jamani mmewahi ona hii? eti m2 ana mpenzi wake ambae wanajuana kila kona lakini cha kushangaza eti mwanaume akiuziwa au akiwa hajapendezwa na ki2anashindwa kufunguka na kubaki na kinyongo. hii imekaaje
Kufunguka ni tabia na uamuzi wa mtu binafsi. Na kubaki na kinyongo ni uamuzi pia.
My ex kidumu is a philosopher. . .love you still.
hivi jamani mmewahi ona hii? eti m2 ana mpenzi wake ambae wanajuana kila kona lakini cha kushangaza eti mwanaume akiuziwa au akiwa hajapendezwa na ki2anashindwa kufunguka na kubaki na kinyongo. hii imekaaje
Huyo mwanaume atakuwa ni introverthivi jamani mmewahi ona hii? eti m2 ana mpenzi wake ambae wanajuana kila kona lakini cha kushangaza eti mwanaume akiuziwa au akiwa hajapendezwa na ki2anashindwa kufunguka na kubaki na kinyongo. hii imekaaje