BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 723
- 1,019
anaweza kuwa amekuletea zawadi usipokuwa mwangalifuMe mbona kuna demu alitoka tanga week jana amekaa siku nne hapa nyumbani nilikua simjui tumeonana tu mtandaoni
Heee[emoji134]tanga jini Mzee babaMe mbona kuna demu alitoka tanga week jana amekaa siku nne hapa nyumbani nilikua simjui tumeonana tu mtandaoni
Trustworthy sio kawaida kuna kitu kinakuwa kina endesha uhusiano huo ! Hasa wadada wetu hawa gap limebana sana LA kuolewa ndo maanaMe mbona kuna demu alitoka tanga week jana amekaa siku nne hapa nyumbani nilikua simjui tumeonana tu mtandaoni
Maisha yanevadilika sana hasa kwenye issue hii ya mahusianoKuna watu wanaroho ngumu sana
Hahhaaha ni wewe ndo unetoka Mbeya nini ShemAcha umbea
Sawa shemejiFanya yako mkuu.
Kuhusu tabia nafahamu lakini sio kila incidence inaangukia psychological output kuna mengine yanahitaji ujuzi nje na nilionao ndo nithibitishe.We ni mwanasaikolojia then tena unatuuliza sisi kwani hujui tabia za watu..?
Hivyo ndivyo walivyo ndugu kuna watu wanaweza take risk bila kuwa na maswali ya why,when and how!… Lkn pia watu wanamipango ndugu usione tu kiumbe kimetoka kilipotoka ukafikiri ndo hivyo tu! There's dark side which we don't know!.. licha ya kuwa na masimulizi yanayotuonya but hiyo haitoshi kutuzuia personality zetu..
Tabia zina nguvu kushinda elimu.
Hata huyu ni kama mbibi kwa jamaa japo mapenzi hayana umriDaah hii story ya jamaa yako nilikuwa na tabia hizo enzi hizo hata whatsapp haijawa mashuhuri, siku moja natokea bahari beach nakaribia kwenye lile bumps la pale jeshini mara simu ikaita kupokea, sauti ya kike sijui anamtafuta nani, nikamwambia aisee utakuwa umekosea namba. Akaomba radhi akakata, ila alikuwa na sauti nzuri kinoma, baadae akanitumia msg nikachat naye akasema yuko mbeya sijui anafanya kazi CRBD mimi nikamwambia niko dar, mara aksema atakuja dar ila sasa mimi nilikuwa nampotezea potezea maana nilikuwa na mambo mengi.
Ila baada ya muda nikajikuta nachat naye kila siku, basi siku aliyosema atakuja dar ikafika akaomba nikampokee jioni, nikaenda ubungo kumpokea simjui hanijui, niko nashangaa shangaa ananielekeza kwenye simu muda huo usiku saa mbili hivi demu namuona lakini siamini kama ndiye maana nilivyokuwa na muimagine sivyo, demu allikuwa mkubwa zaidi yangu halafu Mungu anisamehe ila hana mvuto yupo kama bibi.
Ila nikafanya uungwana tu nikampokea tukiwa kwenye gari yeey anaongea sana anacheka akataka nipige deep kiss nikakwepesha mdomo, nikampeleka nyumba ya wageni, nikamwambia narudi sikurudi tena kesho yake nikamwambia aisee nina safari ya ghafla nasafiri.
Nilikoma hizo mambo kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha umbea