Inashangaza: Rais wa Mzumbe apangua baraza lake la Mawaziri

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Mwendo wa kupanga na kupangau hii tabia imefika huku vyuoni ikiendelea italeta vurugu siku za mbeleni.

USSR

20211021_202442.jpg
 
Mwendo wa kupanga na kupangau hii tabia imefika huku vyuoni ikiendelea italeta vurugu siku za mbeleni

USSRView attachment 1982217
Vurugu gani...we jamaa utakuwa mgonjwa wa akili si bure....yaani ufanye fujo chuoni kwa sababu ya kipumbavu kama hii.....utakuwa mwanafunzi mpuuzi sana kwani hiki ndio kimekupeleka chuo?....
Uzuri ukifanya upuuzi wa hivi moja kwa moja unarudi kwenu ukasaidie kazi wazee wako...
 
Kwahiyo wakina Lubeleje wanaendeleza ukoo...hawa watoto nao kwahiyo wanacopy na kupest
 
Vurugu gani...we jamaa utakuwa mgonjwa wa akili si bure....yaani ufanye fujo chuoni kwa sababu ya kipumbavu kama hii.....utakuwa mwanafunzi mpuuzi sana kwani hiki ndio kimekupeleka chuo?....
Uzuri ukifanya upuuzi wa hivi moja kwa moja unarudi kwenu ukasaidie kazi wazee wako...
Mm na uanafunzi wapi na wapi kilaza wewe mm nilihitimu shahada ya kwanza 2006 na sijawahi kusoma hapa bongolala ,

Mimi nakwambia kwa jicho la intelligence sio kiazi mbatata kama wewe ngumbalu

USSR
 
wanafunzi hawahawa wenye vimili vidogo dogo vya kizinzi ndio wanajipa ujinga huu, basi ni hatari hii
 
Baraza la kibaguzi sana hakuna hata Muislam mmoja? Ubaguz wa kidini unaanzia vyuoni kumbe na hao wote ni ccm johnthebaptist
Zamani walikuwa wanasema wanasheria wa kiwango cha Cheti na Diploma kutoka Mzumbe ni bora kuliko wale wa LLB kutoka Udsm.

Wakati ule niliwabishia lakini kesi ya Sabaya na hii ya Mbowe zimenifanya niwatafakari upya.

Tena sasa kuna Wanasheria kutoka Tumaini na SAUT.

Elimu ya bongo ni full kizungumkuti.
 
Back
Top Bottom