Inashangaza kuona mkuu wa majeshi msiri kuliko mkuu wa usalama wa taifa

Inashangaza kuona mkuu wa majeshi msiri kuliko mkuu wa usalama wa taifa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
23,961
Reaction score
42,166
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Hivi huyu mkuu wa usalama wa taifa hicho cheo alikipataje?

Chawa wake ni akina nani , ana magari mangapi, analala chumba gani, ana watoto wangapi, kaiba sh ngapi, yaan kwa kifupi ni hovyo kabisa

Anazidiwa mpaka na akina Jesca Magufuri ni ngumu sana kujua mambo yao lakin yeye kila jambo lake liko hewani, yaani mkuu wa usalama wa taifa ufisadi wake wote unajulikana e anazomiliki zinajulikana

Big up sana kwa mkuu wa majeshi jamaa ni secret ile mbaya

LONDON BOY
 
Back
Top Bottom