Tetesi: Inasemekana TEC ndio waliomng'oa Mbowe CHADEMA

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
3,926
Reaction score
4,523
Hili dubwana linaloitwa TEC Lina mambo mengi sana nyuma ya pazia Hadi inafika wakati mtu unashindwa kuelewa hi TEC iliundwa Kwa ajili ya dini au kazi nyingine ambayo sisi hatuijui

Nilipopata hizi habari kuwa Mbowe pale CHADEMA alikuwa king'ang"anizi ila TEC ndio wamemuondoa nilikuwa sijaamini ila siku niliyomsikia Lisu akisema kuwa walienda mara nyingi msimbazi Center kusuruhishwa ndio nikaunganisha doti na kuamini kuwa ni kweli TEC ndio waliofanya kazi ya kumng'oa Mbowe pale CHADEMA

Inaonekana Mbowe alikataa kuwa kibaraka wa TEC ndio maana wakamuondoa Ili kuweka vibaraka wao akina Lisu na Heche

Na hata ukiangalia Kauli za Lisu , Heche na TEC zinafanana
Lisu alisema tutakinukisha
Heche alisema uchaguzi mwaka huu hautafanyika
TEC wao wakawajaza waumini wao chuki Ili wafanye Fujo siku ya Uchaguzi Ili Uchaguzi uvurugike na nchi isitawalike

Katika speech yake Heche kuwa uchaguzi mwaka huu hautafanyika alisema ameongea na vyombo vya dini mbalimbali bila ya shaka watakua ndio hao TEC

Inaonekana TEC na CHEDRMA walikuwa wamejipanga mda mrefu jinsi ya kuvuruga uchaguzi pamoja na Amani ya nchi na hatimaye nchi isitawalike hongera sana vyombo vyetu vya usalama kuzima hili jaribio la watu waovu dhidi ya Taifa letu
 
Ujinga mzigo sana.
 
Mashudu kama haya unayatupia ignore list tu.
 
Na watamuondoa Samuya
 
Inaonekana Mbowe alikataa kuwa kibaraka wa TEC ndio maana wakamuondoa Ili kuweka vibaraka wao akina Lisu na Heche
WEWE NAWE NI LOFA
 
Kuna watu ni wapumbavu mno!
Kwa hiyo sisi wote hata tusio waumini wa RC tumekuwa waumini wa TEC?!
 
Ila katika mambo ambayo yananifurahisha kwa sasa ni kuona jinsi CCM (organization ya kigaidi) wanalia lia na kumbwela mbwela tu mbele ya TEC

Wamebaki kuwatumia MACHAWA tu kubweka na kuruka ruka plus mipasho ya ya yule ajuza chizi

Nyinyi si wababe sana na dola ipo chini yenu?rendering sasa mkadeal na TEC kama mnavyodeal na wengine hapa Nchini
 
Back
Top Bottom