Inasemekana miwani aliyovaa tajiri Bakhresa kwenye msiba wa hayati Rais Mwinyi ina thamani ya million 700.

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,703
5,477
Inasemekana miwani hii inauwezo wa kunusa hatari yeyote na kisha kumpa taarifa, wajuzi wa mambo kuna ukweli wowote hapa? 😃


D5896E15-B387-4162-8EAC-C8295C72870F.jpeg
 
Back
Top Bottom