Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,220
- 4,632
Tuendelee kumuheshimu sana.Bro wangu wa damu sana bwashee
😝 Si ndoapo nakusumbuaje yani 😜Haujawahi
Niaje madam atoto.Ukute ndio yeye🤣
Kingine unataka nini? Ili nitume vyote kwa pamojaUnannyima picha ya tako🤗
Wewe mbona fimbo tu unanyooka🤣🤣Shindii unajua , nitaacha vyote nikukabidhi hili furushi la maisha yangu ? Tuone utafanya nini 😃
Nimkute binti yangu hivi walah hamna rangi ataacha ona🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ni poa bwana ndege! Hujambo?Niaje madam atoto.
Hivi umeona clip yao vizuri? Aisee, ni huzuni……Muda wote wanatafuna mirungi.Nimkute binti yangu hivi walah hamna rangi ataacha ona🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mangi vinaanza taratibu namna hii, badae utatuletea mambo ya hovyo hapa😅Mangi tulia mimi mchangamsha kijiwe tu 🤣
Hahahahaaa..Fungu langu kivipi ? Wapi nilisema nachagua mafungu?
Sijambo! Umepotea sana. Nimefurahi kukuona tena.Ni poa bwana ndege! Hujambo?
Daaah sijaiona🙆♂️Hivi umeona clip yao vizuri? Aisee, ni huzuni……Muda wote wanatafuna mirungi.
🤣🤣🤣🤣 mimi na aibu hatukai pamoja.Halafu shindii ,unanichukulia poa 🤣 tukikutana unaanza , kuangalia pembeni kwa aibu🤣
Kwamba yanaweza yakamkuta ya mwandambo?Mangi vinaanza taratibu namna hii, badae utatuletea mambo ya hovyo hapa😅