Utani tu.Huyu ni mdada, ona sasa
Sawa brazaTulia bro😃 , acha nijitungue sivunji sheria za humu🤣
Na hizi kende? Usinivunjie heshima bradhaa 😂Huyu ni mdada, ona sasa
Hii ndio namna ya kumkaribisha bwana seran jukwaani.Eti kuna dem hanitaki ila namsumbua pm 🤣 ebu ajitokeze kwa maringo nimwone hapa Seran Chukua notes🤣
SalamalekoNani tena huyo ba mnyogodi? Hebu njoo ninong’oneze…👂
Kende labda za kugundisha 😊 😃Na hizi kende? Usinivunjie heshima bradhaa 😂
Ukute ndio yeye🤣Mangi angalia usujekuwa kana de gana!
Bro wangu wa damu sana bwasheeNamwita katika Uzi huu kaka yangu mwenye ndevu kama za Osama Evelyn Salt.
😂😂😂Ni jinsia gani huyo dem ba mkali?
Ulihangaikaga hivi hivi shindii wakakubebea. Itajirudia tena.Acha zko shindii
Au anaekusumbua ni mimi 😜Pesa nawaza nikupe wewe , ebu pita kwa maringo hapa🤗
Ya nyanya 😅😅😅😅🙌Fungu langu kivipi ? Wapi nilisema nachagua mafungu?