PreGE2025 Heche akamatwa na polisi, apelekwa kituo cha polisi Oysterbay

PreGE2025 Heche akamatwa na polisi, apelekwa kituo cha polisi Oysterbay

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay

Screenshot_20250424_082810_Instagram.jpg
 
Heche mpaka sasa hajatambua anatakiwa kuishi kibunifu sana na jeshi la polisi
uko sahihi nami nimeliona kuna fomula moja ya ku-calculate acute angle anakosea ili ku-solve namna ya ku-deal na hao jamaa ngoja baada ya kesi nitamtafuta japo nasikia wamemdaka tena huko
 
Wakuu,

Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay

View attachment 3313853
View attachment 3313856
Msafara gani huo gari moja tuu? Polisi mnakera.
 
Back
Top Bottom