Tetesi: Inasemekana hali ya Steve Nyerere yazidi kuwa mbaya aomba kama kuna aliyemloga amsamehe

Nikumbushe mdau
Miaka kidg ya nyuma kuna mnenguaji mmoja wa bendi ya African Stars kabla ya kufariki,alitoa list ya watu watakaomfuata kwa Israel baada ya yy kutangulia.Kaka anayeugua sasa jina lake nae lilikuwemo!!!!!
 
ewaaaaaaaaa hahaa you nailed it Broo
kumbe unakumbu kumbu njema kiasi hcho hahaa
enzi za kina mama mingoi hizo na shangingi La mashangingi Shenazi..
kama yule SHENAZI ndio aliharibu na kuuwa watu wengi mnoooo ..saloon yake walikuwa wanashinda machoko tu ..nakila anapokwenda wame mzunguka...haya mambo Yakina delicious yalianzaga kitambo hahaa..enzi za FM club kinondoni
umenikumbusha mbali sana enzi za Diamond Sound wako Sillent INN.......Ilikuwa balaaa masteji shoo akina Diana Aston Villa...Mariam Zidane...Lilian Internet...Erika Evander Holfield...Aisha Madinda dah ....Shenazi alipata ajali ya basi akafa
 
way back hiyo mkuu
teh enzi za alichoki na tinga tinga "
Amina chifupa na mpakanjia ..
ndanda Kosovo na FM na wajela jela .
sinta na juma nature
ukija huku wamkuta ray kigosi na Nina huku akiwa anachepuka na posh ..daahh mjini hapa
dully syks akamla Amina chifupa kina mpkanjia wakataka kumla kiboga ..
enzi hizo home alone pale mango ndio inawika balaa..bila kumsahau ngwizu kulujalala na Nora

naona juzi tumerumbana kwajili ya fx but leo tuko pamoja hahaa kweli kuwa mwanaume ni zaidi yakujitambua..YAANI SISI WOTE WATOTO WAMJINI LAKINI TULIKUWA TWAVIMBIANA..dadeq..mkuu hem nenda katred hukoooo tehh
 
umenikumbusha mbali sana enzi za Diamond Sound wako Sillent INN.......Ilikuwa balaaa masteji shoo akina Diana Aston Villa...Mariam Zidane...Lilian Internet...Erika Evander Holfield...Aisha Madinda dah ....Shenazi alipata ajali ya basi akafa
Shenazi, alifia mbeya pale mlima nyoka, akitokea Tunduma. Walikuwa mashangingi wa ukweli sana. Unajua wengi wanachanganya ushangingi na umalaya, ni vitu viwili tofauti. Shangingi ni Dada la ukweli, linajua kila kitu. Kwenye ustaarabu na ushauri hulikosi, kwenye utemi na ushari hulikosi, kwenye mishemishe ulikosi, kwahiyo linakuwa full occupied. Sasa utakuja kukuta Malaya mtu anamuita shangingi nachukia sana mimi.
 
Aisha alikuwa best yangu sana kipindi hicho ana saluni Kimara
Aiseeh hatari, unajua alikuwa mzuri hadi unyayo, ila wajanja wanafaidi sana. Nilikaa nae hotel moja Rungwe wewe acha tu, mtoto anakunywa heniken, wewe na mashost zake na meneja Mujibu, hapa kuna Born Manjonjo weweeeh, acha hiyo (RIP Born) jamani kufa kupo.
 
949add68f34042fa30fb54e4eafe475d.jpg

Ktk hiyo list,Choki kamzika mkewe,Banza hatunaye,Abou Semhando alifariki ila kwa ajali ya pikipiki na Aisha Madinda alishafariki.hapo utamuona huyo anayezungumziwa hapa na wengine ambao hali zao zishawahi kuwa tia maji tia maji.
Hiyo "chain of termination" ni noma.
 
ewaaaaaaaaa hahaa you nailed it Broo
kumbe unakumbu kumbu njema kiasi hcho hahaa
enzi za kina mama mingoi hizo na shangingi La mashangingi Shenazi..
kama yule SHENAZI ndio aliharibu na kuuwa watu wengi mnoooo ..saloon yake walikuwa wanashinda machoko tu ..nakila anapokwenda wame mzunguka...haya mambo Yakina delicious yalianzaga kitambo hahaa..enzi za FM club kinondoni
Dah marehemu Shenazi alale pema tu kwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom