Inasemekana ccm wamerusha ndege mbili kwenda Arumeru saa tano usiku

nchi sio ya chama kimoja,
2015 kuna kila dalili za serikali ya mseto
ni aibu sana na matusi yote waliotukana wananchi wa arumeru afu wawape kura hata wakiiba
kura watu wa arumeru hawadhulumiwi hata kidogo,watakiona cha mtema kuni
Hapana. Hatuhitaji mseto hapa. Huwezi kufanya mseto na mwizi. CCM itagalagazwa kama vile KANU ilivyogalagazwa Kenya.
 
Jamani jamani hii ni Tanzania zaidi ya muijuavyo, kesho asubuhi Sioi atatangazwa mshindi amini msiamini nipo Arumeru muda huu ndani ya hiki chumba nashangaa hawa jamaa wa IT wa chadema wamekuja hapa kufanya nini wanashindwa kuona hiki wanachojaribu kukifanya ccm, nasikia uchungu sana.
 
Weka wazi kinachofanyika ni nini?? Kumbuka"Jamiiforums,a place where we dare to speak oppenly"
pia kama upo chumba cha majumuisho si kuna viongozi? Waite uwaa mbie!
 
Jamani jamani hii ni Tanzania zaidi ya muijuavyo, kesho asubuhi Sioi atatangazwa mshindi amini msiamini nipo Arumeru muda huu ndani ya hiki chumba nashangaa hawa jamaa wa IT wa chadema wamekuja hapa kufanya nini wanashindwa kuona hiki wanachojaribu kukifanya ccm, nasikia uchungu sana.

wanafanya nini hao ccm,kuwa wazi mama.
 
Hizi ndege labda ni za kuwatoa akina Mwigulu wasinyeshewe mvua kesho hapo Arumeru

mwigulu mida hii atakuwa anajipooza na mke wa mtoboa maskio, si unajua JK alisema ukitaka kula nawe lazima uliwe?
 
Lowassa ndio ameicost ccm,tumeshindwa kwa kujitakia,hakukua na sababu ya kumshirikisha lowassa kwenye kampeni,hili liwe fundisho pahala pengine,watu wenye tuhuma za ufisadi marufuku kusimama majukwaani kuwanadi wagombea wetu hata wa udiwani,mbona igunga hatukuishirikisha hii mizigo tukapata mafanikio?

Ubishi wa baadhi wa watu lowassa alishatucost arusha mjini na bado tumeendelea kumtumia haya ndio matokeo yake tumelitupa jimbo ki
 
Hivyo makamanda nawaomba muwe macho kudhibiti haya mafisadi,inasemekana kuna kura bandia pamoja na wakuu wa vitengo hapa nchini. Makamanda tuko pamoja kazeni kamba lazima ccm izikwe b4 2015.source niko maeneo ya airport Dar.
Waambie wageuze huko juu maana ni aibu!!!! Hiyo ndo people's power
 
nchi sio ya chama kimoja,
2015 kuna kila dalili za serikali ya mseto
ni aibu sana na matusi yote waliotukana wananchi wa arumeru afu wawape kura hata wakiiba
kura watu wa arumeru hawadhulumiwi hata kidogo,watakiona cha mtema kuni

Serikali ya mseto kwani hapa Zanzibar? Shindwa na ulegee watu tuna-strugle kuhakikisha kuwa CHADEMA inachukua nchi we unaleta habari za mseto, hapana
 
ndege????
 
Attachments

  • ndege.jpg
    ndege.jpg
    3.5 KB · Views: 104
CDM, ni mapema kusheherekea ushindi jamani.....

Haya mashetani tuna-deal nayo... kuna Team ya UWT kutoka Dar ilikuwa huko.....

Lolote linawezekana mida ya mwishomwisho hii... hebu tuendelee kuwa macho tuangalie "ubaya unatookea wapi"
 
Tuwe makini wanaharakati wetu huko Arumelu.
Tunawategemea nyinyi.
Mtuwakilishe vyema.
 
Lowassa ndio ameicost ccm,tumeshindwa kwa kujitakia,hakukua na sababu ya kumshirikisha lowassa kwenye kampeni,hili liwe fundisho pahala pengine,watu wenye tuhuma za ufisadi marufuku kusimama majukwaani kuwanadi wagombea wetu hata wa udiwani,mbona igunga hatukuishirikisha hii mizigo tukapata mafanikio?

Ubishi wa baadhi wa watu lowassa alishatucost arusha mjini na bado tumeendelea kumtumia haya ndio matokeo yake tumelitupa jimbo ki

koma kabisa
 
nchi sio ya chama kimoja,
2015 kuna kila dalili za serikali ya mseto
ni aibu sana na matusi yote waliotukana wananchi wa arumeru afu wawape kura hata wakiiba
kura watu wa arumeru hawadhulumiwi hata kidogo,watakiona cha mtema kuni

Weeeeh, "..serikali ya mseto.." kakwambia nani hicho kichefuchefu!!
 
Back
Top Bottom