B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
wakuu habari za asubui...nisiwachoshe na maneno mengi niende kwenye point.kumekuwa na visa vingi sikuhizi au inaanza kuonekana kawaida sasa,jana usiku kuna binti wa miaka 26 amefumaniwa na baba ake mzazi wakivunja amri ya sita?binti kwa kujitetea akasema baba ake ka mlazimisha.kumbe watu walijua mahusiano yao kwa takribani miaka miwili nyuma.nikawa very interested hapa...nikwamba binti hakujua kitendo cha kulala na baba yake ni dhambi na kibaya?pili kama alilazimiswa mara ya kwanza kwanini hakusema kwa watu wazima akanogewa akaendelea miaka miwili now anajitetea kwamba alilazimiswa jamani kwa akili za jicho la pili utagundua binti nae alipenda kulala na baba ake?tatu hivi nikipi kinacho pelekea mpaka baba kumtamani binti yake ki mwili?na mbona hizi kesi ni rare sana kusikia mtoto wa kiume ka mlala mama ake?am just curious wakubwa