Inaruhusiwa kumiliki spear gun bila kibali?

kiumbe kipya

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
2,831
1,302
Naomba kufahamu kwa wenye kujua je kwa sheria zetu hapa Tanzania ni halali kwa mtu yeyote kumiliki spear gun bila kibali, kwa wasiojua spear gun ni kwa matumizi ya uvuvi.

images.jpg
 
Back
Top Bottom