Theres a saying A man will always be aman and woman a woman Kila mtu ana vitu anavyoona ni prioritykwake ila katika urafiki na uchumba mnatakiwa kuongelea mambo yote muhimu ; Juamwenzio ana perpective gani kuhusu dini, fedha, ajira, ujasiriamali , nk Kwenyeurafiki utagundua mambo mengi sana hata mkiwa kwenye gari ukiona rafiki hatuliibarabarani, kumpisha dereva mwingine hawezi, anatukana akichomekewa , anavisasi kwa walimuovertake ujue hiyo ni reflection ya personality. Au mathalanikuna taarifa inatangazwa redioni- kuna viwanja vipya ukaona walau ana interestbasi utajua hii ni reflection ya ambitions zake. Ni vyema kuangalia mambo muhimu wakati wa uchumba and Itell u, wanaume huwa hawabadili sana kutoka alivyokuwa rafiki (kama kwelimlispend enough time hawezi kupretend kwenye key issues). Jua likes anddislikes za mwenzio na pia kama ni maudhi madogo ujue jinsi ya kuji-accommodatekatika hayo. Ndoa ni sadaka kubwa sana inayojengwa juuya Upendo; Sasa hivi ndoa chache sana zipi juu ya upendo . Misingi imekuwastatus na Mali. Turudi kwenye usemi wangu wa awali kuwa Mwanaume ni mwanaumena mwanamke ni mwanamke, sina maana mbaya ila tuangalie historia na mafundishoya dini , clearly there are things a man needs to take control (dont mean todictate) and the woman takes the advisory role- oxford dictionary inadefineadvisory as Having orconsisting in the power to make recommendations but not to take actionenforcing them: . Hivyo basi wanawake wamepewa Power kubwa sana ya ushawishikuwa washauri. Samahani , wakristowaliosoma kitabu cha Esther watakumbuka how Queen Esther alitumia nguvu kuu ya ushawishi kwamfalme kwa maneno na maombi hadi akapewanusu ya ufalme. Mwanamke amepewa lugha laini , ushawishi kuweza kumgeuza mumeweili hizo priotity ziwe kwa malengo ya familia. Isije ikawa ushawishi wako ni wakukemea na kufoka na kununa , katu hutashinda. Na nguvu hii ya ushawishiikitumika vyema mwanaume hana ujanja wa kukiuka- mara nyingi atakumbuka upolena maelezo yakinifu ya mkewe na watajadili vyema na kufikia maamuzi.
Sasa basi , turudi kwa mleta hoja; umesema mnatofautiana malengo; Jeunahisi malengo ya nani ni objective na constructive towards the two of you?Maana kama mna ndoa lazima kuna malengomuhimu kama chakula, makazi, malezi ya watoto nk ambayo kama wote wawilimmejicommit kuwa wanandoa lazima muwe driven na common goals hata kama hupendi. Katika ndoa tunatoa ubinafsi kwa kujali malengo ya wote. Je mmeanisha malengoyenu ya ndoa na familia (tunarudi kwenye urafiki, uchumba na malengomliyoweka?) au mnaenda ili mradi siku zinapita tu? Kama hamjafanya hivyohujachelewa, ni muhimu kujadili what the two of you want as a couple and how toget that.
Na kama priorities hizi ni TVprograms, where to go on the next holiday , etc basi Mmoja ajishushe mara yakwanza (I advise uanze wewe ) na tumialugha laini na mbinu nyepesi za ushawishi kumsihi kwa nini na wewe unapendausikilizwe in the next selection.