jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
alshabab keeper utafungaje ....system failure...
system corrupted........
alshabab keeper utafungaje ....system failure...
Hapo kwenye kuchagua utatamani aitwe refa aamue, shidaaaaaaaa
system corrupted........
hahahahaha
unaweza nuniwa mwaka mzima
Am happy ila najiuliza y kudifer, wote hivi au sisi tu
Hamuwezi mkakosa tofauti hata kama mmezaliwa na mama mmoja. Muhimu kumfahamu mwenzio. Wakati mwingine unakubali kama halina madhara sana. Ila usikubali kukubali muingie kwenye matatizo kwa kuogopa kumuwekea ligi. Mengine yanaisha kwa muda huo, mengine anabadilika baada ya miaka, mengine hatobadilika kabisa.
Umeonaa kero, mtaamua kua na tv kila sehemu bt haileti raha pia
Hahahah...akitaka hayo makitu anunue kisimbusi cha kwake
kama hali iko hivyo kwako basi nna safari ndefu
Kwa nini safari iwe ndefu rafiki?
Wekeni bayana faida na hasara za kila uamuzi wa mmoja wenu...
Mwisho chagueni wazo lile lenye faida nyingi, na hiyo iwe ndio sheria ya naman mnavyofanya maamuzi.
Natamani ungetumia mifano, kuna mda nahisi by nature interst za wanaume na wanawake ni tofauti
Ni kweli kuwa utofauti wetu wa kijinsia unapelekea baadhi ya interests kuwa tofauti...
Sasa kama mtu unatambua ya kwamba interests huweza kutofautiana, ya nini kuzua kiranga?
natamani kujua mwisho wa ratiba za hivyo vikao, na mimi nikipata anayependa Larevenge ntakua naangalia hukohuko nikija nalala tu
kwa rafiki yangu jamani , si larevange tu , povu la nini tena, ukinikataza kwenda kuangalia na nini itakuhusu
Kaka, huw mnadiffer kwenye mambo gani? Wakinamama wengi huwa wana misimamo iyenye mwelekeo wa maendeleo ya mapema wakati sisi wanaume huwa tunapenda kusubiri eti pesa zipatikane nyingi. Hizo pesa nyingi unazitoa wpi, labd ukaibe. Kama ni masuala ya maendeleo je, unapomfuata mnafnikiwa au la? Kama mnafanikiwa kuwa Mr yes, kama hamfanikiwi wewe nimkichwa unapswa kutoa uamuzi mwafaka na lazima atafuata hata kwa nunaAm happy ila najiuliza y kudifer, wote hivi au sisi tu