The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,062
- 13,462
nmeipendaaa hii
APO MZEE KAMA INAGONGA JIANDAE ENGINE
2.3 M z😅 kaah gari tunapo elekea sio
kwel hangaya anafanya kazi vizur
Huyu jamaa kaamua kuuza gari ikiwa na mizengwe yake hahaha ila sio mbaya atakayenunua tyr kashajua na kakubaliana na matengenezo
Hujambo mamii? Long time no see...Duuh!! Hii ni kubwa kuliko aisee.
Sijambo sana Mimi. Natumai nawe pia umzima.Hujambo mamii? Long time no see...
Si mbaya... unaweka kwenye CV kuwa uliwahi kumiliki gari...Sijambo sana Mimi. Natumai nawe pia umzima.
Ila gari ya hivi bora kuendelea kuminyana tu kwenye usafiri wa umma kwa kweli huku nikijichanga. 😉
Hahahaaa!! Hapana kwa kweli.Si mbaya... unaweka kwenye CV kuwa uliwahi kumiliki gari...
Hamna gari humo! Gari yeyote ya chini ya 5m kuweni nayo makini
Bora apandishe bei 5.5 atleast liwe gari.Hamna gari hapo mzee, gari ya chini ya 5m ni ya kuzingatia sana hio gari ina noki! Overhaul ni lazima ikuchape 1m au zaidi ndio itakaa sawa.
Huyu jamaa uzuri huwa yuko waziBora apandishe bei 5.5 atleast liwe gari.
Kweli Extro, Waaminifu wapo wachache mno hawa.Huyu jamaa uzuri huwa yuko wazi